Thu Jun 30 2022 15:56:26 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-30 15:56:27 +03:00
parent fe73bde517
commit e9424468bc
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 Lakini Petro akasema, "Anania, kwa nini shetani ameujaza moyo wako kumdanganya Roho Mtakatifu na kuficha sehemu ya mali ya shamba? \v 4 Wakati lilipokuwa halijauzwa, halikuwa ni mali yako? Na baada ya kuuzwa, halikuwa chini ya uamuzi wako? Ilikuwaje uwaze jambo hili moyoni mwako? Hujawadanganya wanadamu, bali umemdanganya Mungu." \v 5 Kwa kusikia maneno haya, Anania alidondoka chini na akakata roho. Na hofu kubwa iliwajia wote waliolisikia hili. \v 6 Vijana wakaja mbele na wakamfunga sanda, na kumpeleka nje na kumzika.
\v 3 Lakini Petro akasema, "Anania, kwa nini shetani ameujaza moyo wako kumdanganya Roho Mtakatifu na kuficha sehemu ya mali ya shamba? \v 4 Wakati lilipokuwa halijauzwa, halikuwa ni mali yako, na baada ya kuuzwa, halikuwa chini ya mamlaka yako? Ilikuwaje uwaze jambo hili moyoni mwako? Hujawadanganya wanadamu, bali umemdanganya Mungu." \v 5 Kwa kusikia maneno haya, Anania alidondoka chini na akakata roho. Na hofu kubwa iliwajia wote waliolisikia hili. \v 6 Vijana wakaja mbele na wakamfunga sanda, na kumpeleka nje na kumzika.