diff --git a/05/03.txt b/05/03.txt index 1dfe190..805a53d 100644 --- a/05/03.txt +++ b/05/03.txt @@ -1 +1 @@ -\v 3 Lakini Petro akasema, "Anania, kwa nini shetani ameujaza moyo wako kumdanganya Roho Mtakatifu na kuficha sehemu ya mali ya shamba? \v 4 Wakati lilipokuwa halijauzwa, halikuwa ni mali yako? Na baada ya kuuzwa, halikuwa chini ya uamuzi wako? Ilikuwaje uwaze jambo hili moyoni mwako? Hujawadanganya wanadamu, bali umemdanganya Mungu." \v 5 Kwa kusikia maneno haya, Anania alidondoka chini na akakata roho. Na hofu kubwa iliwajia wote waliolisikia hili. \v 6 Vijana wakaja mbele na wakamfunga sanda, na kumpeleka nje na kumzika. \ No newline at end of file +\v 3 Lakini Petro akasema, "Anania, kwa nini shetani ameujaza moyo wako kumdanganya Roho Mtakatifu na kuficha sehemu ya mali ya shamba? \v 4 Wakati lilipokuwa halijauzwa, halikuwa ni mali yako, na baada ya kuuzwa, halikuwa chini ya mamlaka yako? Ilikuwaje uwaze jambo hili moyoni mwako? Hujawadanganya wanadamu, bali umemdanganya Mungu." \v 5 Kwa kusikia maneno haya, Anania alidondoka chini na akakata roho. Na hofu kubwa iliwajia wote waliolisikia hili. \v 6 Vijana wakaja mbele na wakamfunga sanda, na kumpeleka nje na kumzika. \ No newline at end of file