Tue May 31 2022 10:18:46 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-31 10:18:47 +03:00
parent c6da236524
commit e755aeb1ba
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Wakati huo huo akamtangaza Yesu katika masinagogi, akisema kwamba yeye ni Mwana wa Mungu. \v 21 Na wote waliosikia walishangaa na kusema, "Siyo mtu huyu aliyewaharibu wote walioita Jina hili huko Yerusalemu? Na hapa amekuja kwa kusudi la kuwafunga na kuwapeleka kwa makuhani." \v 22 Lakini Sauli akawa na nguvu zaidi na zaidi, naye alikuwa akisababisha dhiki miongoni mwa Wayahudi waliokaa Dameski kwa kuthibitisha ya kuwa huyu ndiye Kristo.
\v 20 Wakati huo huo akamtangaza Yesu katika masinagogi, akisema kwamba yeye ni Mwana wa Mungu. \v 21 Na wote waliosikia walishangaa na kusema, "Siyo mtu huyu aliyewaharibu wote walioita Jina hili huko Yerusalemu? Na hapa amekuja kwa kusudi la kuwafunga na kuwapeleka kwa makuhani." \v 22 Lakini Sauli akawa na nguvu zaidi na zaidi, naye alikuwa akisababisha dhiki miongoni mwa Wayahudi waliokaa Dameski, akithibitisha ya kuwa huyu ndiye Kristo.