Tue May 31 2022 10:10:46 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
4a0157bec9
commit
d33651c470
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 20 Wakati huo huo akamtangaza Yesu katika masinagogi, akisema kwamba yeye ni Mwana wa Mungu. \v 21 Na wote waliosikia walishangaa na kusema, "Siyo mtu huyu aliyewaharibu wote walioita Jina hili huko Yerusalemu? Na hapa amekuja kwa kusudi la kuwafunga na kuwapeleka kwa makuhani." \v 22 Lakini Sauli akawa na nguvu zaidi na zaidi kuhubiri na kuwafanya Wayahudi waliokaa Dameski wachanganyikiwe na kuthibitisha ya kuwa huyu ndiye Kristo.
|
||||
\v 20 Wakati huo huo akamtangaza Yesu katika masinagogi, akisema kwamba yeye ni Mwana wa Mungu. \v 21 Na wote waliosikia walishangaa na kusema, "Siyo mtu huyu aliyewaharibu wote walioita Jina hili huko Yerusalemu? Na hapa amekuja kwa kusudi la kuwafunga na kuwapeleka kwa makuhani." \v 22 Lakini Sauli akawa na nguvu zaidi na zaidi, naye alikuwa akisababisha dhiki kuhubiri na kuwafanya Wayahudi waliokaa Dameski wachanganyikiwe na kuthibitisha ya kuwa huyu ndiye Kristo.
|
Loading…
Reference in New Issue