Tue May 31 2022 10:08:46 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-31 10:08:47 +03:00
parent 7d1bd7f4db
commit 4a0157bec9
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Wakati huo huo akamtangaza Yesu katika masinagogi, akisema kwamba yeye ni Mwana wa Mungu. \v 21 Na wote waliosikia walishangaa na kusema, "Siyo mtu huyu aliyewaharibu wote walioita Jina hili huko Yerusalemu? Na hapa amekuja kwa kusudi la kuwafunga na kuwapeleka kwa makuhani." \v 22 Lakini Sauli akawa na n kuhubiri na kuwafanya Wayahudi waliokaa Dameski wachanganyikiwe na kuthibitisha ya kuwa huyu ndiye Kristo.
\v 20 Wakati huo huo akamtangaza Yesu katika masinagogi, akisema kwamba yeye ni Mwana wa Mungu. \v 21 Na wote waliosikia walishangaa na kusema, "Siyo mtu huyu aliyewaharibu wote walioita Jina hili huko Yerusalemu? Na hapa amekuja kwa kusudi la kuwafunga na kuwapeleka kwa makuhani." \v 22 Lakini Sauli akawa na nguvu zaidi na zaidi kuhubiri na kuwafanya Wayahudi waliokaa Dameski wachanganyikiwe na kuthibitisha ya kuwa huyu ndiye Kristo.