Fri May 27 2022 09:10:12 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-27 09:10:12 +03:00
parent 9e3908fe39
commit 92da8050f2
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 8 \v 1 Sauli alikuwa kwenye makubaliano ya kifo chake. Ndipo siku hio yakaanza mateso makuu kinyume cha kanisa lililokuwa Yerusalemu; na waaminio wote walitawanyika katika majimbo ya Yudea na Samaria, isipokuwa mitume. \v 2 Watu wachamungu walimzika Stefano na kufanya maombolezo makubwa juu yake. \v 3 Lakini Sauli alilidhuru sana kanisa. Alikwenda nyumba kwa nyumba na kuwaburuza nje wanawake na waume, na kuwatupia gerezani.
\c 8 \v 1 Sauli alikuwa kwenye makubaliano ya kifo chake. Ndipo siku hio yakaanza mateso makuu kinyume cha kanisa lililokuwa Yerusalemu; na waaminio wote walitawanyika katika majimbo ya Yudea na Samaria, isipokuwa mitume. \v 2 Watu wachamungu walimzika Stefano na kufanya maombolezo makubwa juu yake. \v 3 Lakini Sauli alilidhuru sana kanisa. Alikwenda nyumba kwa nyumba na kuwavuta nje wanawake na waume, na kuwatupa gerezani.