diff --git a/08/01.txt b/08/01.txt index 0e23416..f0aa1b3 100644 --- a/08/01.txt +++ b/08/01.txt @@ -1 +1 @@ -\c 8 \v 1 Sauli alikuwa kwenye makubaliano ya kifo chake. Ndipo siku hio yakaanza mateso makuu kinyume cha kanisa lililokuwa Yerusalemu; na waaminio wote walitawanyika katika majimbo ya Yudea na Samaria, isipokuwa mitume. \v 2 Watu wachamungu walimzika Stefano na kufanya maombolezo makubwa juu yake. \v 3 Lakini Sauli alilidhuru sana kanisa. Alikwenda nyumba kwa nyumba na kuwaburuza nje wanawake na waume, na kuwatupia gerezani. \ No newline at end of file +\c 8 \v 1 Sauli alikuwa kwenye makubaliano ya kifo chake. Ndipo siku hio yakaanza mateso makuu kinyume cha kanisa lililokuwa Yerusalemu; na waaminio wote walitawanyika katika majimbo ya Yudea na Samaria, isipokuwa mitume. \v 2 Watu wachamungu walimzika Stefano na kufanya maombolezo makubwa juu yake. \v 3 Lakini Sauli alilidhuru sana kanisa. Alikwenda nyumba kwa nyumba na kuwavuta nje wanawake na waume, na kuwatupa gerezani. \ No newline at end of file