Tue Jun 14 2022 12:49:25 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-14 12:49:25 +03:00
parent 99e76e61fc
commit 8e4457b68d
3 changed files with 6 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Wakati waliposikia hayo, walim Mungu, na wakamwambia, "Unaona, ndugu, kuna maelfu wangapi wameamini miongoni mwa Wayahudi. Wao wote wana nia ya kushika sheria. \v 21 Wameambiwa kuhusu wewe, kwamba unafundisha Wayahudi wanaoishi kati ya mataifa kuachana na Musa, na kwamba unawaambia wasiwatahiri watoto wao, na wasifuate desturi za zamani.
\v 20 Wakati waliposikia hayo, walimsifu Mungu, na wakamwambia, "Unaona, ndugu, kuna maelfu wangapi wameamini miongoni mwa Wayahudi. Wao wote wana nia ya kushika sheria. \v 21 Wameambiwa kuhusu wewe, kwamba unafundisha Wayahudi wanaoishi kati ya mataifa kuachana na Musa, na kwamba unawaambia wasiwatahiri watoto wao, na wasifuate desturi za zamani.

View File

@ -1 +1 @@
\v 25 Lakini kwa habari za mataifa ambao wamekuwa waumini, tuliandika na kutoa maagizo kwamba wanapaswa kujiepusha na vitu vilivyotolewa dhabihu kwa sanamu, na damu, kutokana na kile kilichonyongwa, na wajiepushe na uasherati." \v 26 Ndipo, Paulo aliwatwaa wanaume, na siku ya pili, akajitakasa mwenyewe pamoja nao, akaingia Hekaluni, kutangaza kipindi cha siku za kujitakasa, hadi sadaka itolewa kwa ajili ya kila mmoja wao.
\v 25 Lakini kwa habari za mataifa ambao wamekuwa waumini, tuliandika na kutoa maagizo kwamba wanapaswa kujiepusha na vitu vilivyotolewa dhabihu kwa sanamu, na damu, kutokana na kile kilichonyongwa, na wajiepushe na uasherati." \v 26 Ndipo, Paulo aliwatwaa wanaume, na siku ya pili, akajitakasa mwenyewe pamoja nao, akaingia Hekaluni, kutangaza kipindi cha siku za kujitakasa, hadi sadaka itolewe kwa ajili ya kila mmoja wao.

View File

@ -359,6 +359,9 @@
"21-10",
"21-12",
"21-15",
"21-17"
"21-17",
"21-20",
"21-22",
"21-25"
]
}