diff --git a/21/20.txt b/21/20.txt index 7f1cf3f..a30765c 100644 --- a/21/20.txt +++ b/21/20.txt @@ -1 +1 @@ -\v 20 Wakati waliposikia hayo, walim Mungu, na wakamwambia, "Unaona, ndugu, kuna maelfu wangapi wameamini miongoni mwa Wayahudi. Wao wote wana nia ya kushika sheria. \v 21 Wameambiwa kuhusu wewe, kwamba unafundisha Wayahudi wanaoishi kati ya mataifa kuachana na Musa, na kwamba unawaambia wasiwatahiri watoto wao, na wasifuate desturi za zamani. \ No newline at end of file +\v 20 Wakati waliposikia hayo, walimsifu Mungu, na wakamwambia, "Unaona, ndugu, kuna maelfu wangapi wameamini miongoni mwa Wayahudi. Wao wote wana nia ya kushika sheria. \v 21 Wameambiwa kuhusu wewe, kwamba unafundisha Wayahudi wanaoishi kati ya mataifa kuachana na Musa, na kwamba unawaambia wasiwatahiri watoto wao, na wasifuate desturi za zamani. \ No newline at end of file diff --git a/21/25.txt b/21/25.txt index 74826a9..ca8c333 100644 --- a/21/25.txt +++ b/21/25.txt @@ -1 +1 @@ -\v 25 Lakini kwa habari za mataifa ambao wamekuwa waumini, tuliandika na kutoa maagizo kwamba wanapaswa kujiepusha na vitu vilivyotolewa dhabihu kwa sanamu, na damu, kutokana na kile kilichonyongwa, na wajiepushe na uasherati." \v 26 Ndipo, Paulo aliwatwaa wanaume, na siku ya pili, akajitakasa mwenyewe pamoja nao, akaingia Hekaluni, kutangaza kipindi cha siku za kujitakasa, hadi sadaka itolewa kwa ajili ya kila mmoja wao. \ No newline at end of file +\v 25 Lakini kwa habari za mataifa ambao wamekuwa waumini, tuliandika na kutoa maagizo kwamba wanapaswa kujiepusha na vitu vilivyotolewa dhabihu kwa sanamu, na damu, kutokana na kile kilichonyongwa, na wajiepushe na uasherati." \v 26 Ndipo, Paulo aliwatwaa wanaume, na siku ya pili, akajitakasa mwenyewe pamoja nao, akaingia Hekaluni, kutangaza kipindi cha siku za kujitakasa, hadi sadaka itolewe kwa ajili ya kila mmoja wao. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 8def36e..0e74664 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -359,6 +359,9 @@ "21-10", "21-12", "21-15", - "21-17" + "21-17", + "21-20", + "21-22", + "21-25" ] } \ No newline at end of file