Fri Jul 01 2022 00:20:41 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-07-01 00:20:43 +03:00
parent 66e19b99f4
commit 4995966174
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Tulikuwa tumechukua muda mwingi sana, na muda wa mfungo wa Kiyahudi ulikuwa umepita pia, na sasa ilikuwa ni hatari kuendelea kusafiri. Hivyo Paulo akawaonya, \v 10 na kusema, "Wanaume, naona safari ambayo tunataka tuichukue itakuwa na madhara na hasara nyingi, siyo tu ya mizigo na meli, lakini pia ya maisha yetu." \v 11 Lakini afisa wa jeshi la Kirumi alikuwa amekashawishiwa zaidi bwana wake na mmiliki wa meli, kuliko mambo yale ambayo yalizungumzwa na Paulo.
\v 9 Tulikuwa tumechukua muda mwingi sana, na muda wa mfungo wa Kiyahudi ulikuwa umepita pia, na sasa ilikuwa ni hatari kuendelea kusafiri. Hivyo Paulo akawaonya, \v 10 na kusema, "Wanaume, naona safari ambayo tunataka tuichukue itakuwa na madhara na hasara nyingi, siyo tu ya mizigo na meli, lakini pia ya maisha yetu." \v 11 Lakini afisa wa jeshi la Kirumi alikuwa ameshawishika zaidi kwa bwana wake na mmiliki wa meli, kuliko mambo yale ambayo yalizungumzwa na Paulo.