From 499596617465671fef22daa8a677d70956b4a0d4 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Fri, 1 Jul 2022 00:20:43 +0300 Subject: [PATCH] Fri Jul 01 2022 00:20:41 GMT+0300 (East Africa Time) --- 27/09.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/27/09.txt b/27/09.txt index 53b073a..9d1e3e6 100644 --- a/27/09.txt +++ b/27/09.txt @@ -1 +1 @@ -\v 9 Tulikuwa tumechukua muda mwingi sana, na muda wa mfungo wa Kiyahudi ulikuwa umepita pia, na sasa ilikuwa ni hatari kuendelea kusafiri. Hivyo Paulo akawaonya, \v 10 na kusema, "Wanaume, naona safari ambayo tunataka tuichukue itakuwa na madhara na hasara nyingi, siyo tu ya mizigo na meli, lakini pia ya maisha yetu." \v 11 Lakini afisa wa jeshi la Kirumi alikuwa amekashawishiwa zaidi bwana wake na mmiliki wa meli, kuliko mambo yale ambayo yalizungumzwa na Paulo. \ No newline at end of file +\v 9 Tulikuwa tumechukua muda mwingi sana, na muda wa mfungo wa Kiyahudi ulikuwa umepita pia, na sasa ilikuwa ni hatari kuendelea kusafiri. Hivyo Paulo akawaonya, \v 10 na kusema, "Wanaume, naona safari ambayo tunataka tuichukue itakuwa na madhara na hasara nyingi, siyo tu ya mizigo na meli, lakini pia ya maisha yetu." \v 11 Lakini afisa wa jeshi la Kirumi alikuwa ameshawishika zaidi kwa bwana wake na mmiliki wa meli, kuliko mambo yale ambayo yalizungumzwa na Paulo. \ No newline at end of file