Thu Jun 16 2022 17:10:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-16 17:10:11 +03:00
parent 4f0ddedcf8
commit 48d16b3848
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 2 Mitume kumi na wawili waliwaita kusanyiko lote la wanafunzi na kusema, "Siyo sahihi kwetu kuliacha neno la Mungu na kuhudumia mezani. \v 3 Kwa hiyo, ndugu, chagueni, wanaume saba, kutoka miongoni mwenu, watu wema, waliojaa Roho na hekima, ambao tunaweza kuwakabidhi huduma hii. \v 4 Na sisi, tutaendelea daima katika kuomba na katika huduma ya neno."
\v 2 Mitume kumi na wawili waliwaita kusanyiko lote la wanafunzi na kusema, "Siyo sahihi kwetu kuliacha neno la Mungu na kuhudumia mezani. \v 3 Kwa hiyo, ndugu, inawapasa mchague, wanaume saba, kutoka miongoni mwenu, watu wema, waliojaa Roho na hekima, ambao tunaweza kuwakabidhi huduma hii. \v 4 Na sisi, tutaendelea daima katika kuomba na katika huduma ya neno."