diff --git a/06/02.txt b/06/02.txt index 9cc4b52..2dee46c 100644 --- a/06/02.txt +++ b/06/02.txt @@ -1 +1 @@ -\v 2 Mitume kumi na wawili waliwaita kusanyiko lote la wanafunzi na kusema, "Siyo sahihi kwetu kuliacha neno la Mungu na kuhudumia mezani. \v 3 Kwa hiyo, ndugu, chagueni, wanaume saba, kutoka miongoni mwenu, watu wema, waliojaa Roho na hekima, ambao tunaweza kuwakabidhi huduma hii. \v 4 Na sisi, tutaendelea daima katika kuomba na katika huduma ya neno." \ No newline at end of file +\v 2 Mitume kumi na wawili waliwaita kusanyiko lote la wanafunzi na kusema, "Siyo sahihi kwetu kuliacha neno la Mungu na kuhudumia mezani. \v 3 Kwa hiyo, ndugu, inawapasa mchague, wanaume saba, kutoka miongoni mwenu, watu wema, waliojaa Roho na hekima, ambao tunaweza kuwakabidhi huduma hii. \v 4 Na sisi, tutaendelea daima katika kuomba na katika huduma ya neno." \ No newline at end of file