Thu Jun 16 2022 16:52:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-06-16 16:52:11 +03:00
parent 69e555fe8e
commit 46888a1ca7
2 changed files with 2 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 35 Kisha akawaambia, "Wanaume wa Israeli, iweni makini sana na kile mnachopendekeza kuwafanyia watu hawa. \v 36 Kwa sababu, zamani zilizopita, Theuda aliinuka na kujidai kuwa mtu mkuu, na idadi ya watu, wapata mia nne walimfuata. Aliuawa, na wote waliokuwa wanamtii walitawanyika na kupotea. \v 37 Baada ya mtu huyu, Yuda mgalilaya, aliinuka siku zile za kuandikwa sensa, akavuta watu wengi nyuma yake. Naye pia alipotea na wote waliokuwa wakimtii walitawanyika.
\v 35 Kisha akawaambia, "Wanaume wa Israeli, iweni makini sana na kile mnachopendekeza kuwafanyia watu hawa. \v 36 Kwa sababu, zamani zilizopita, Theuda aliinuka na kujidai kuwa mtu mkuu, na idadi ya watu, wapata mia nne walijiunga naye. Aliuawa, na wote waliokuwa wanamtii walitawanyika na kupotea. \v 37 Baada ya mtu huyu, Yuda mgalilaya, aliinuka siku zile za kuandikwa sensa, akavuta watu wengi nyuma yake. Naye pia alipotea na wote waliokuwa wakimtii walitawanyika.

View File

@ -107,6 +107,7 @@
"05-24",
"05-26",
"05-29",
"05-33",
"07-title",
"07-01",
"20-title",