diff --git a/05/35.txt b/05/35.txt index 79849f2..f886fac 100644 --- a/05/35.txt +++ b/05/35.txt @@ -1 +1 @@ -\v 35 Kisha akawaambia, "Wanaume wa Israeli, iweni makini sana na kile mnachopendekeza kuwafanyia watu hawa. \v 36 Kwa sababu, zamani zilizopita, Theuda aliinuka na kujidai kuwa mtu mkuu, na idadi ya watu, wapata mia nne walimfuata. Aliuawa, na wote waliokuwa wanamtii walitawanyika na kupotea. \v 37 Baada ya mtu huyu, Yuda mgalilaya, aliinuka siku zile za kuandikwa sensa, akavuta watu wengi nyuma yake. Naye pia alipotea na wote waliokuwa wakimtii walitawanyika. \ No newline at end of file +\v 35 Kisha akawaambia, "Wanaume wa Israeli, iweni makini sana na kile mnachopendekeza kuwafanyia watu hawa. \v 36 Kwa sababu, zamani zilizopita, Theuda aliinuka na kujidai kuwa mtu mkuu, na idadi ya watu, wapata mia nne walijiunga naye. Aliuawa, na wote waliokuwa wanamtii walitawanyika na kupotea. \v 37 Baada ya mtu huyu, Yuda mgalilaya, aliinuka siku zile za kuandikwa sensa, akavuta watu wengi nyuma yake. Naye pia alipotea na wote waliokuwa wakimtii walitawanyika. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index e601d10..f4ecf79 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -107,6 +107,7 @@ "05-24", "05-26", "05-29", + "05-33", "07-title", "07-01", "20-title",