Fri Jul 08 2022 23:14:59 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-07-08 23:15:00 +03:00
parent d2946966a2
commit 16d81ee6e8
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 14 Wakati huu mitume wa Yerusalemu waliposikia kuwa sasa Samaria imepokea neno la Mungu, wakawatuma kwao Petro na Yohana. \v 15 Wakati walipokuwa wakishuka waliwaombea kwamba, wampokee Roho Mtakatifu. \v 16 Kwani mpaka wakati huo Roho Mtakatifu alikuwa hajawashukia hata Mmoja wao; walikuwa tu wamebatizwa kwa jina la Bwana Yesu. \v 17 Ndipo Petro na Yohana wakawawekea mikono, nao wakampokea Roho Mtakatifu.
\v 14 Wakati huu mitume wa Yerusalemu waliposikia kuwa sasa Samaria imepokea neno la Mungu, wakawatuma kwao Petro na Yohana. \v 15 Wakati walipokuwa wamewakishukia waliwaombea kwamba, wampokee Roho Mtakatifu. \v 16 Kwani mpaka wakati huo Roho Mtakatifu alikuwa hajawashukia hata Mmoja wao; walikuwa tu wamebatizwa kwa jina la Bwana Yesu. \v 17 Ndipo Petro na Yohana wakawawekea mikono, nao wakampokea Roho Mtakatifu.