sw_act_text_ulb/14/08.txt

1 line
363 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 8 Na huko Listra palikuwa na mtu mmoja aliyekaa, hakuwa na nguvu miguuni mwake, kilema kutoka tumboni mwa mama yake, ambaye hajawahi kutembea. \v 9 Mtu huyu alimsikia Paulo akiongea. Paulo alimkazia macho na akaona kwamba alikuwa na imani ya kuponywa. \v 10 Hivyo alimwambia kwa sauti kubwa, "Simama kwa miguu yako." Na yule mtu aliruka juu na kuanza kutembea.