Tue May 31 2022 17:39:31 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-05-31 17:39:32 +03:00
parent 53b12d499a
commit 7adcac552f
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Na huko Listra palikuwa na mtu mmoja aliyekaa, hakuwa na nguvu miguuni mwake, kilema kutoka tumboni mwa mama yake, ambaye hajawahi kutembea. \v 9 Mtu huyu alimsikia Paulo akiongea. Paulo alimkazia macho na akaona kwamba alikuwa na imani ya kuponywa. \v 10 Hivyo alisema kwake kwa sauti ya juu, "Simama kwa miguu yako." Na yule mtu aliruka juu na kuanza kutembea.
\v 8 Na huko Listra palikuwa na mtu mmoja aliyekaa, hakuwa na nguvu miguuni mwake, kilema kutoka tumboni mwa mama yake, ambaye hajawahi kutembea. \v 9 Mtu huyu alimsikia Paulo akiongea. Paulo alimkazia macho na akaona kwamba alikuwa na imani ya kuponywa. \v 10 Hivyo alimwambia kwa sauti kubwa, "Simama kwa miguu yako." Na yule mtu aliruka juu na kuanza kutembea.