sw_2sa_text_reg/14/23.txt

1 line
246 B
Plaintext

\v 23 Hivyo Yoabu akainuka na kwenda Geshuri, akamrejesha Absalomu Yerusalemu tena. \v 24 Mfalme akasema, "Na arudi nyumbani kwake, lakini hasinione uso wangu." Hivyo Absalomu akarudi katika nyumba yake mwenyewe, na hakuweza kuuona uso wa mfalme.