Wed Oct 19 2022 10:24:01 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-19 10:24:01 +03:00
parent f7bf91f69d
commit f958e32725
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Wakati mwanamke kutoka Tekoa alipoongea na mfalme, aliinamisha uso wake chini na kusema, \v 5 "Mfalme, anisaidie." Mfalme akamwambia, "Shida yako ni nini?" Akajibu, Ukweli ni kwamba mimi ni mjane, mme wangu alikufa. \v 6 Mimi, mtumishi wako, nilikuwa na wana wawili, wakagombana shambani, na hakukuwa na wa kuwaachanisha. Mmoja wao akampiga mwenziwe na kumwua.
\v 4 Wakati mwanamke kutoka Tekoa alipoongea na mfalme, aliinamisha uso wake chini na kusema, \v 5 "Mfalme, nisaidie." Mfalme akamwambia, "Shida yako ni nini?" Akajibu, Ukweli ni kwamba mimi ni mjane, mme wangu alikufa. \v 6 Mimi, mtumishi wako, nilikuwa na wana wawili, wakagombana shambani, na hakukuwa na wa kuwaachanisha. Mmoja wao akampiga mwenziwe na kumwua.