Wed Oct 19 2022 10:14:01 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-19 10:14:01 +03:00
parent dda412a94a
commit f7bf91f69d
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 14 \v 1 Yoabu mwana wa Seruya akatambua kwamba moyo wa mfalme ulitamani kumwona Absalomu. \v 2 Hivyo Yoabu akatuma neno huko Tekoa kumleta kwake mwanamke mwerevu. Akamwambia, "Tafadhali, vaa mavazi ya uombolezaji ujifanye kuwa mwombolezaji. Usijipake mafuta, lakini uwe kama mwanamke ambaye ameomboleza kwa muda mrefu kwa ajili yake aliyekufa. \v 3 Kisha ingia kwa mfalme na umwambiye maneno nitakayokueleza." Hivyo Yoabu akamwambia maneno ambayo angeyasema kwa mfalme.
\c 14 \v 1 Yoabu mwana wa Seruya akatambua kwamba moyo wa mfalme ulitamani kumwona Absalomu. \v 2 Hivyo Yoabu akatuma neno huko Tekoa kumleta kwake mwanamke mwerevu. Akamwambia, "Tafadhali, vaa mavazi ya uombolezaji ujifanye kuwa mwombolezaji. Usijipake mafuta, lakini uwe kama mwanamke ambaye ameomboleza kwa muda mrefu kwa ajili yake aliyekufa. \v 3 Kisha ingia kwa mfalme na umwambie maneno nitakayokueleza." Hivyo Yoabu akamwambia maneno ambayo angeyasema kwa mfalme.

View File

@ -196,6 +196,7 @@
"13-32",
"13-34",
"13-37",
"14-title"
"14-title",
"14-01"
]
}