From f7bf91f69da27ab77c01f0748168f1f4a4fe26f8 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Wed, 19 Oct 2022 10:14:01 +0300 Subject: [PATCH] Wed Oct 19 2022 10:14:01 GMT+0300 (East Africa Time) --- 14/01.txt | 2 +- manifest.json | 3 ++- 2 files changed, 3 insertions(+), 2 deletions(-) diff --git a/14/01.txt b/14/01.txt index 04af98d..6a5ca0e 100644 --- a/14/01.txt +++ b/14/01.txt @@ -1 +1 @@ -\c 14 \v 1 Yoabu mwana wa Seruya akatambua kwamba moyo wa mfalme ulitamani kumwona Absalomu. \v 2 Hivyo Yoabu akatuma neno huko Tekoa kumleta kwake mwanamke mwerevu. Akamwambia, "Tafadhali, vaa mavazi ya uombolezaji ujifanye kuwa mwombolezaji. Usijipake mafuta, lakini uwe kama mwanamke ambaye ameomboleza kwa muda mrefu kwa ajili yake aliyekufa. \v 3 Kisha ingia kwa mfalme na umwambiye maneno nitakayokueleza." Hivyo Yoabu akamwambia maneno ambayo angeyasema kwa mfalme. \ No newline at end of file +\c 14 \v 1 Yoabu mwana wa Seruya akatambua kwamba moyo wa mfalme ulitamani kumwona Absalomu. \v 2 Hivyo Yoabu akatuma neno huko Tekoa kumleta kwake mwanamke mwerevu. Akamwambia, "Tafadhali, vaa mavazi ya uombolezaji ujifanye kuwa mwombolezaji. Usijipake mafuta, lakini uwe kama mwanamke ambaye ameomboleza kwa muda mrefu kwa ajili yake aliyekufa. \v 3 Kisha ingia kwa mfalme na umwambie maneno nitakayokueleza." Hivyo Yoabu akamwambia maneno ambayo angeyasema kwa mfalme. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 4a46336..15ec634 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -196,6 +196,7 @@ "13-32", "13-34", "13-37", - "14-title" + "14-title", + "14-01" ] } \ No newline at end of file