Tue Oct 18 2022 13:19:34 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-10-18 13:19:35 +03:00
parent 8765f01cf7
commit beb99cb502
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Wakaleta kichwa cha Ishboshethi kwa Daudi huko Hebroni, nao wakamwambia mfalme, "Tazama, hiki ni kichwa cha Ishboshethi mwana wa Sauli, adui yako, aliyekuwa akiutafuta uhai wako. Leo Yahwe amemlipia kisasi bwana wetu mfalme dhidi ya Sauli na uzao wake." \v 9 Daudi akawajibu Rekabu na Baana nduguye, wana wa Rimoni Mbeerothi, akawambia, "Kama Yahwe aishivyo, aliyeuokoa uhai wangu na kila shida, \v 10 mtu mmoja aliponiambia, 'Tazama, Sauli amekufa,' akifikiri alileta habari njema, nilimkamata na kumwua huko Siklagi. Huo ndio ujira niliompa kwa habari yake.
\v 8 Wakaleta kichwa cha Ishboshethi kwa Daudi huko Hebroni, nao wakamwambia mfalme, "Tazama, hiki ni kichwa cha Ishboshethi mwana wa Sauli, adui yako, aliyekuwa akiutafuta uhai wako. Leo Yahwe amemlipia kisasi bwana wetu mfalme dhidi ya Sauli na uzao wake." \v 9 Daudi akawajibu Rekabu na Baana nduguye, wana wa Rimoni Mbeerothi, akawambia, "Kama Yahwe aishivyo, aliyeuokoa uhai wangu na kila shida, \v 10 mtu mmoja aliponiambia, 'Tazama, Sauli amekufa,' akifikiri alileta habari njema, nilimkamata na kumuua huko Siklagi. Huo ndio ujira niliompa kwa habari yake.