Tue Oct 18 2022 13:25:34 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-10-18 13:25:35 +03:00
parent dc30ac9942
commit 877baf5fdf
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Namna gani, mtu muovu anapomwua mwenye haki kitandi mwake ndani ya nyumba, Je nisiitake damu yake kutoka katika mikono yenu, na kuwaondoa duniani?" \v 12 Kisha Daudi akawaagiza vijana, nao wakawaua wakakata mikono na miguu yao na kuwatundika kando ya bwawa huko Hebroni. Lakini wakakichukua kichwa cha Ishboshethi na kukizika katika kaburi la Abneri katika Hebroni.
\v 11 Namna gani, watu waovu wamemuua mwenye haki kitandani mwake ndani ya nyumba, Je nisiitake damu yake kutoka katika mikono yenu, na kuwaondoa duniani?" \v 12 Kisha Daudi akawaagiza vijana, nao wakawaua wakakata mikono na miguu yao na kuwatundika kando ya bwawa huko Hebroni. Lakini wakakichukua kichwa cha Ishboshethi na kukizika katika kaburi la Abneri katika Hebroni.