diff --git a/04/11.txt b/04/11.txt index f9f694e..d77d543 100644 --- a/04/11.txt +++ b/04/11.txt @@ -1 +1 @@ -\v 11 Namna gani, mtu muovu anapomwua mwenye haki kitandi mwake ndani ya nyumba, Je nisiitake damu yake kutoka katika mikono yenu, na kuwaondoa duniani?" \v 12 Kisha Daudi akawaagiza vijana, nao wakawaua wakakata mikono na miguu yao na kuwatundika kando ya bwawa huko Hebroni. Lakini wakakichukua kichwa cha Ishboshethi na kukizika katika kaburi la Abneri katika Hebroni. \ No newline at end of file +\v 11 Namna gani, watu waovu wamemuua mwenye haki kitandani mwake ndani ya nyumba, Je nisiitake damu yake kutoka katika mikono yenu, na kuwaondoa duniani?" \v 12 Kisha Daudi akawaagiza vijana, nao wakawaua wakakata mikono na miguu yao na kuwatundika kando ya bwawa huko Hebroni. Lakini wakakichukua kichwa cha Ishboshethi na kukizika katika kaburi la Abneri katika Hebroni. \ No newline at end of file