Thu Oct 20 2022 14:00:11 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-20 14:00:12 +03:00
parent 55492a94bf
commit 39f320afe0
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 15 Hivyo akatuma tauni juu ya Israeli kuanzia asubuhi kwa muda ulioamriwa, na watu sabini na tano elfu kutoka Dani mpaka Beersheba wakafa. \v 16 Malaika aliponyosha mkono wake kuelekea Yerusalemu ili kuuharibu, Yahwe akabadili nia yake kuhusu madhara, na akamwambia malaika aliyekuwa tiyari kuwaangamiza watu, "Yatosha! Rudisha mkono wako sasa." Wakati huo malaika wa Yahwe alikuwa amesimama katika kiwanja cha kupuria cha Arauna Myebusi.
\v 15 Hivyo akatuma tauni juu ya Israeli kuanzia asubuhi kwa muda ulioamliwa, na watu sabini na tano elfu kutoka Dani mpaka Beersheba wakafa. \v 16 Malaika aliponyosha mkono wake kuelekea Yerusalemu ili kuuharibu, Yahwe akabadili nia yake kuhusu madhara, na akamwambia malaika aliyekuwa tiyari kuwaangamiza watu, "Yatosha! Rudisha mkono wako sasa." Wakati huo malaika wa Yahwe alikuwa amesimama katika kiwanja cha kupuria cha Arauna Myebusi.

View File

@ -360,6 +360,7 @@
"24-05",
"24-08",
"24-10",
"24-11"
"24-11",
"24-13"
]
}