Thu Oct 20 2022 13:58:11 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-20 13:58:11 +03:00
parent 67128c1534
commit 55492a94bf
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Daudi alipoinuka asubuhi, neno la Yahwe likamjia nabii Gadi, mwonaji wa Daudi, kusema, \v 12 Nenda umwambie Daudi; 'Hivi ndivyo asemavyo Yahwe: "Ninakupa mambo matatu. Uchague mojawapo."
\v 11 Daudi alipoinuka asubuhi, neno la Yahwe likamjia nabii Gadi, mwonaji wa Daudi, ikisema, \v 12 Nenda umwambie Daudi; 'Hivi ndivyo asemavyo Yahwe: "Ninakupa mambo matatu. Uchague mojawapo."

View File

@ -1 +1 @@
\v 13 Hivyo Gadi akaenda kwa Daudi na kumwambia, "Je miaka mitatu ya njaa ije katika nchi yako? au miezi mitatu ukimbie kutoka kwa adui zako huku wakikufuatia? au kuwe na tauni ya siku tatu katika nchi yako? Amua sasa jibu gani nimrudishie aliyenituma." \v 14 Ndipo Daudi alipomwambia Gadi, "Nipo katika shida kubwa. Haya na tuanguke katika mikono ya Yahwe kuliko kuanguka katika mikono ya mwanadamu, kwani matendo yake ya rehema ni makuu sana."
\v 13 Hivyo Gadi akaenda kwa Daudi na kumwambia, "Je miaka mitatu ya njaa ije katika nchi yako? au miezi mitatu ukimbie kutoka kwa adui zako huku wakikufuatia? au kuwe na tauni ya siku tatu katika nchi yako? Amua sasa jibu gani nimrudishie aliyenituma." \v 14 Ndipo Daudi akamwambia Gadi, "Nipo katika shida kubwa. Haya na tuanguke katika mikono ya Yahwe kuliko kuanguka katika mikono ya mwanadamu, kwani matendo yake ya rehema ni makuu sana."

View File

@ -359,6 +359,7 @@
"24-03",
"24-05",
"24-08",
"24-10"
"24-10",
"24-11"
]
}