Thu Oct 20 2022 12:42:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-20 12:42:11 +03:00
parent 78f3deaeb5
commit 1de95a3caa
3 changed files with 5 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Ikawa katika vita nyingine huko Gathi kulikuwa na mtu mrefu sana mwenye vidole sita katika kila mkono na vidole sita katika kila mguu, jumla yake ishirini na vinne. Yeye naye alikuwa wa uzao wa Warefai. \v 21 Alipowatukana Israeli, Yonathani mwana mwana wa Shama, nduguye Daudi, akamwua. \v 22 Hawa walikuwa wa uzao wa Warefai wa Gathi, waliuawa kwa mkono wa Daudi na kwa mkono wa askari wake
\v 20 Ikawa katika vita nyingine huko Gathi kulikuwa na mtu mrefu sana mwenye vidole sita katika kila mkono na vidole sita katika kila mguu, jumla yake ishirini na vinne. Yeye naye alikuwa wa uzao wa Warefai. \v 21 Alipowatukana Israeli, Yonathani mwana mwana wa Shama, nduguye Daudi, akamuua. \v 22 Hawa walikuwa wa uzao wa Warefai wa Gathi, waliuawa kwa mkono wa Daudi na kwa mkono wa askari wake

1
22/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
Sura 22

View File

@ -310,6 +310,8 @@
"21-12",
"21-14",
"21-15",
"21-18"
"21-18",
"21-20",
"22-title"
]
}