sw_2sa_text_reg/21/20.txt

1 line
398 B
Plaintext

\v 20 Ikawa katika vita nyingine huko Gathi kulikuwa na mtu mrefu sana mwenye vidole sita katika kila mkono na vidole sita katika kila mguu, jumla yake ishirini na vinne. Yeye naye alikuwa wa uzao wa Warefai. \v 21 Alipowatukana Israeli, Yonathani mwana mwana wa Shama, nduguye Daudi, akamuua. \v 22 Hawa walikuwa wa uzao wa Warefai wa Gathi, waliuawa kwa mkono wa Daudi na kwa mkono wa askari wake