Thu Oct 20 2022 10:29:28 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-20 10:29:28 +03:00
parent a27910314c
commit 1105ae9c86
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 27 Ikawa wakati Daudi alipokuwa amekuja Mahanaimu, huyo Shobi mwana wa Nahashi kutoka Raba ya Waamoni na Makiri mwana wa Amieli wa kutoka Lo Debari, na Berzilai Mgileadi wa Rogelimu, \v 28 wakaleta magodoro na mabulangeti, mabakuri na vyungu, na ngano, unga wa shayiri, nafaka zilizokaangwa, maharage, dengu, \v 29 asali, siagi, kondoo na samli, ili kwamba Daudi na watu waliokuwa pamoja naye waweze kula. Kwani walisema, "Watu wana njaa, wamechoka na wana kiu huko nyikani."
\v 27 Ikawa wakati Daudi alipokuwa amekuja Mahanaimu, huyo Shobi mwana wa Nahashi kutoka Raba ya Waamoni na Makiri mwana wa Amieli wa kutoka Lo Debari, na Berzilai Mgileadi wa Rogelimu, \v 28 wakaleta magodoro na blanketi, mabakuri na vyungu, na ngano, unga wa shayiri, nafaka zilizokaangwa, maharage, dengu, \v 29 asali, siagi, kondoo na samli, ili kwamba Daudi na watu waliokuwa pamoja naye waweze kula. Kwani walisema, "Watu wana njaa, wamechoka na wana kiu huko nyikani."