From 1105ae9c866cd7dc2df4f5ed0a95225e465fdc0a Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Thu, 20 Oct 2022 10:29:28 +0300 Subject: [PATCH] Thu Oct 20 2022 10:29:28 GMT+0300 (East Africa Time) --- 17/27.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/17/27.txt b/17/27.txt index 24ac06c..4bc8fe4 100644 --- a/17/27.txt +++ b/17/27.txt @@ -1 +1 @@ -\v 27 Ikawa wakati Daudi alipokuwa amekuja Mahanaimu, huyo Shobi mwana wa Nahashi kutoka Raba ya Waamoni na Makiri mwana wa Amieli wa kutoka Lo Debari, na Berzilai Mgileadi wa Rogelimu, \v 28 wakaleta magodoro na mabulangeti, mabakuri na vyungu, na ngano, unga wa shayiri, nafaka zilizokaangwa, maharage, dengu, \v 29 asali, siagi, kondoo na samli, ili kwamba Daudi na watu waliokuwa pamoja naye waweze kula. Kwani walisema, "Watu wana njaa, wamechoka na wana kiu huko nyikani." \ No newline at end of file +\v 27 Ikawa wakati Daudi alipokuwa amekuja Mahanaimu, huyo Shobi mwana wa Nahashi kutoka Raba ya Waamoni na Makiri mwana wa Amieli wa kutoka Lo Debari, na Berzilai Mgileadi wa Rogelimu, \v 28 wakaleta magodoro na blanketi, mabakuri na vyungu, na ngano, unga wa shayiri, nafaka zilizokaangwa, maharage, dengu, \v 29 asali, siagi, kondoo na samli, ili kwamba Daudi na watu waliokuwa pamoja naye waweze kula. Kwani walisema, "Watu wana njaa, wamechoka na wana kiu huko nyikani." \ No newline at end of file