Wed Oct 19 2022 12:37:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-19 12:37:48 +03:00
parent 91d118e58c
commit 0285954d54
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 32 Ikawa Daudi alipofika juu njiani mahala Mungu alipokuwa akiabudiwa, Hushai Mwarki akaja kumlaki vazi lake likiwa limeraruliwa na mavumbi kichwani pake. \v 33 Daudi akamwambia, "Ikiwa utaenda nami utakuwa mzigo kwangu. \v 34 Lakini ukirudi mjini na kumwambia Absalomu, 'Nitakuwa mtumishi wa mfalme kama nilivokuwa mtumishi wa baba yako, ndivyo nitakavyokuwa mtumishi wako,' ndipo utayageuza mashauri ya Ahithofeli kwa ajili yangu.
\v 32 Ikawa Daudi alipofika juu njiani mahala Mungu alipokuwa akiabudiwa, Hushai Mwarki akaja kumlaki vazi lake likiwa limeraruliwa na mavumbi kichwani pake. \v 33 Daudi akamwambia, "Ikiwa utaenda nami utakuwa mzigo kwangu. \v 34 Lakini ukirudi mjini na kumwambia Absalomu, 'Nitakuwa mtumishi wa mfalme kama nilivyokuwa mtumishi wa baba yako, ndivyo nitakavyokuwa mtumishi wako,' ndipo utayageuza mashauri ya Ahithofeli kwa ajili yangu.