Wed Oct 19 2022 12:35:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-19 12:35:48 +03:00
parent c9af569d3f
commit 91d118e58c
2 changed files with 2 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 30 Lakini Daudi akaenda bila viatu huku akilia hata Mlima wa Mizeituni, naye alikuwa amefunika kichwa chake. Kila mtu miongoni mwao waliokuwa pamoja naye akafunika kichwa chake, nao wakaenda huku wakilia. \v 31 Mtu mmoja akamwambia Daudi kusema, Ahithofeli ni miongoni mwa wafitini walio pamoja na Absalomu." Hivyo Daudi akaomba, "Ee Yahwe, tafadhali badili ushauri wa Ahithofeli kuwa upumbavu."
\v 30 Lakini Daudi akaenda bila viatu huku akilia hata Mlima wa Mizeituni, naye alikuwa amefunika kichwa chake. Kila mtu miongoni mwao waliokuwa pamoja naye akafunika kichwa chake, nao wakaenda huku wakilia. \v 31 Mtu mmoja akamwambia Daudi akisema, Ahithofeli ni miongoni mwa wafitini walio pamoja na Absalomu." Hivyo Daudi akaomba, "Ee Yahwe, tafadhali badili ushauri wa Ahithofeli kuwa upumbavu."

View File

@ -1 +1 @@
\v 32 Ikawa Daudi alipofika juu njiani mahala Mungu alipokuwa akiabudiwa, Hushai Mwarki akaja kumlaki vazi lake limeraruliwa na mavumbi kichwani pake. \v 33 Daudi akamwambia, "Ikiwa utaenda nami utakuwa mzigo kwangu. \v 34 Lakini ukirudi mjini na kumwambia Absalomu, 'Nitakuwa mtumishi wa mfalme kama nilivokuwa mtumishi wa baba yako, ndivyo nitakavyokuwa mtumishi wako,' ndipo utayageuza mashauri ya Ahithofeli kwa ajili yangu.
\v 32 Ikawa Daudi alipofika juu njiani mahala Mungu alipokuwa akiabudiwa, Hushai Mwarki akaja kumlaki vazi lake likiwa limeraruliwa na mavumbi kichwani pake. \v 33 Daudi akamwambia, "Ikiwa utaenda nami utakuwa mzigo kwangu. \v 34 Lakini ukirudi mjini na kumwambia Absalomu, 'Nitakuwa mtumishi wa mfalme kama nilivokuwa mtumishi wa baba yako, ndivyo nitakavyokuwa mtumishi wako,' ndipo utayageuza mashauri ya Ahithofeli kwa ajili yangu.