1 line
370 B
Plaintext
1 line
370 B
Plaintext
|
\v 19 Mke wa mtu huyo akachukua kifuniko na kukikufunika kwenye mlango wa kisima kisha akaanika nafaka juu yake, hivyo hakuna aliyejua kwamba Yonathani na Ahimaasi walikuwa kisimani. \v 20 Watu wa Absalomu wakaja kwa mwanamke na kumwuliza, "Ahimaasi na Yonathani wako wapi?" Mwanamke akawaambia, "Wamevuka mto." Hivyo baada ya kuwatafuta bila kuwaona kurejea Yerusalemu.
|