Sat Jul 30 2022 10:18:00 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-07-30 10:18:16 +03:00
commit ca8df1e11a
309 changed files with 337 additions and 0 deletions

1
01/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Baada ya kifo cha Sauli, Daud alirudi kutoka kuwashambulia Waamaleki na akakaa Siklagi kwa siku mbili. \v 2 Siku ya tatu, mtu mmoja alikuja kutoka kambi ya Sauli nguo zake zikiwa zimeraruliwa na akiwa na vumbi juu ya kichwa chake. Alipofika kwa Daudi alinamisha uso wake chini akajifanya yeye mwenyewe kuwa si kitu.

1
01/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Daudi akamuliza, "Unatoka wapi?" Yeye akajibu, "Nimeponyoka kutoka kambi ya Israeli." \v 4 Daudi akamwambia, "Tafadhari nieleze jinsi mambo yalivyokuwa." Akajibu, "Watu walikimbia kutoka vitani. Wengi wameanguka, na wengi wao wameuawa. Sauli na Yonathani mwanawe pia wameuawa." \v 5 Daudi akamwuliza kijana, "unajuaje kuwa Sauli na Yonathani mwanawe wameuawa?"

1
01/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Yule kijana akajibu, "Kwa bahati nilikuwa juu ya Mlima Gilboa, na pale alikuwepo Sauli ameegemea mkuki wake, na magari ya farasi na waongozaji walikuwa karibu kumkamata. \v 7 Sauli alipogeuka aliniona na akaniita. Nikajibu, 'Mimi hapa.'

1
01/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Akaniuliza, 'Wewe ni nani?' Nikamjibu, 'Mimi ni Mwamaleki,' \v 9 Akaniambia, Tafadhari simama juu yangu uniuwe, kwa kuwa shida kubwa imenipata, lakini uhai ungalimo ndani yangu.' \v 10 Hivyo nilisimama juu yake nikamuuwa, kwa maana nilijua kwamba asingeweza kuishi baada ya kuwa ameanguka. Ndipo nikachukuwa taji iliyokuwa juu ya kichwa chake na kikuku kilichokuwa mkononi mwake, na nimevileta hapa kwako, bwana wangu."

1
01/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Kisha Daudi akararua mavazi yake, na watu wote waliokuwa pamoja naye wakafanya vilevile. \v 12 Walilia, wakaomboleza na kufunga mpaka jioni kwa ajili ya Sauli, Yonathani mwanawe, watu wa Yahwe, na kwa ajili ya nyumba ya Israeli kwa maana wameanguka kwa upanga. \v 13 Daudi akamwambia yule kijana, "Unatokea wapi?" Akajibu, mimi ni kijana wa mgeni Mwamaleki."

1
01/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Daudi akamwambia, "Kwa nini haukuogopa kumwua mfalme, mtiwa mafuta wa Yahwe kwa mkono wako?" \v 15 Daudi akamwita mmojawapo wa vijana na akamwambia, "Nenda ukamuue." Hivyo kijana huyo akaenda na kumpiga hata ata chini, Mwamaleki akafa. \v 16 Ndipo Daudi akamwambia Mwamaleke aliyekufa, "Damu yako iwe juu ya kichwa chako kwa kuwa kinywa chako kimeshuhudia dhidi yako kusema, Nimemuua mfalme mtiwa mafuta wa Yahwe.

1
01/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Ndipo Daudi akaimba wimbo wa maombolezo juu ya Sauli na Yonathani mwanawe. \v 18 Akawaamuru watu kuufundisha wimbo wa Bow kwa wana wa Yuda, ambao umeandikwa katika Kitabu cha Yashari. \v 19 "Utukufu wako, Israel, umeondolewa, umeondolewa juu ya mahali pako pa juu! Jinsi mwenye nguvu alivyoanguka! \v 20 Msiiseme katika Gathi, msiitangaze katika mitaa ya Ashikeloni, ili binti za wafilisti wasifurahi, ili binti za wasiotailiwa wasisherehekee.

1
01/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Milima ya Gilboa, kusiwe na umande au mvua juu yenu. wala mashamba yasitoe nafaka kwa ajili ya sadaka, kwa maana hapo ngao ya mwenye nguvu imeharibiwa. Ngao ya Sauli haiwezi tena kutiwa mafuta. \v 22 Kutoka katika damu ya waliouawa, kutoka katika miili ya wenye nguvu, upinde wa Yonathani haukurudi nyuma, na upanga wa Sauli haukurudi patupu.

1
01/23.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 23 Sauli na Yonathani walikuwa wakipendwa na walikuwa wenye neema maishani, hata wakati wa mauti yao walikuwa pamoja. Walikuwa na kasi kuliko tai, walikuwa na nguvu kuliko simba. \v 24 Enyi binti wa Israeli lieni juu ya Sauli, aliyewavika mavazi ya thamani pamoja na vito vya thamani, na aliyetia mapambo ya dhahabu katika mavazi yenu.

1
01/25.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 25 Jinsi wenye nguvu walivyoanguka vitani! Yonathani ameuawa juu ya mahali pako pa juu. \v 26 Nimesikitishwa sana kwa ajili yako, Yonathani ndugu yangu. Ulikuwa mpendwa wangu sana. Upendo wako kwangu ulikuwa wa ajabu, ukipita upendo wa wanawake. \v 27 Jinsi wenye nguvu walivyoanguka na silaha za vita zimeteketea!"

1
02/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Ikawa baada ya haya Daudi akamuuliza Yahwe, "Je naweza kuupandia mmojawapo wa miji ya Yuda?" Yahweh akamjibu, "Panda." Daudi akauliza, "Niuendee mji upi? Yahwe akajibu, "Hebroni" \v 2 Hivyo Daudi akakwea pamoja na wake zake wawili, Ahinoamu wa Yezreeli, na Abigaili wa Karmeli, mjane wa Nabali. \v 3 Daudi akawaleta watu waliokuwa pamoja naye, na kila mmoja akaleta familia yake katika mji wa Hebroni walipoanza kuishi.

1
02/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Kisha watu wa Yuda wakaja na kumtia Daudi mafuta kuwa mfalme juu ya nyumba ya Yuda. Wakamwambia Daudi, "Watu wa Yabeshi Gileadi wamemzika Sauli." \v 5 Hivyo Daudi akatuma wajumbe kwa watu wa Yabeshi Gileadi akawambia, "Mbarikiwe na Yahwe, kwa kuwa mmeonesha utiifu huu kwa bwana wenu Sauli mliyemzika.

1
02/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Sasa Yahwe awadhihirishie utiifu na uaminifu wa kiagano. Nami pia nitawaonesha wema kwa sababu ya yale mliyoyafanya. \v 7 Sasa basi, mikono yenu itiwe nguvu; mwe jasiri kwa maana Sauli bwana wenu amekufa, na nyumba yote ya Yuda imenitia mafuta niwe mfalime wao.

1
02/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Lakini Abneri mwana wa Neri, mkuu wa jeshi la Sauli, akamchukuwa Ishboshethi mwana wa Sauli akamleta Mahanaimu. \v 9 Akamfanya Ishboshethi mfalme juu ya Gileadi, Asheri, Yezreeli, Efraimu, Benjamini na juu ya Israeli yote.

1
02/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Ishiboshethi mwana wa Sauli alikuwa na umri wa miaka arobaini alipoanza kutawala juu ya Israeli, akatawala miaka miwili. Lakini nyumba ya Yuda ikaambatana na Daudi. \v 11 Muda ambao Daudi alikuwa mfalme juu ya nyumba ya Yuda huko Hebroni ni miaka saba na miezi sita.

1
02/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Abneri mwana wa Neri na watumishi wa Ishboshethi mwana wa Sauli walitoka Mahanaimu kwenda Gibeoni. \v 13 Yoabu mwana wa Seruya na watumishi wa Daudi wakatoka na kukutana nao katika bwawa la Gibeoni. Wakakaa pale, kundi moja upande huu wa bwawa na kundi lingine upande wa pili.

1
02/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Abneri akamwambia Yoabu, "haya, vijana na wainuke na kushindana mbele yetu." Yoabu akajibu, "haya na wainuke." \v 15 Ndipo vijana walipoinuka na kukutana, kumi na wawili kwa ajili ya Banjamini na Ishboshethi mwana wa Sauli, na kumi na wawili kutoka kwa watumishi wa Daudi.

1
02/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Kila mtu akakamata kichwa cha adui yake na kupiga upanga wake katika ubavu wa adui yake, wakaanguka chini pamoja. Kwa hiyo mahali pale pakaitwa kwa Kiebrania, "Helkath Hazzurim," yaani "konde la upanga," lililopo Gibeoni. \v 17 Vita ikawa kali sana siku ile na Abneri na watu wa Israeli wakashindwa na watumishi wa Daudi.

1
02/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Wana watatu wa Seruya walikuwepo pale: Yoabu, Abishai na Asaheli. \v 19 Asaheli alikuwa mwepesi miguuni kama paa. Akamfuatilia Abneri kwa karibu bila kugeuka upande wowote.

1
02/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Abneri akaangalia nyuma yake na kusema, "Ni wewe Asaheli?" Akajibu, "ni mimi." \v 21 Abneri akamwambia, "Geuka upande wako wa kuria au kushoto umshike mmojawapo wa vijana na kuchukua silaha yake." Lakini Asaheli hakugeuka.

1
02/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Ndipo Abneri alipomwambia tena Asaheli, "Simama usinifuate. Kwa nini nikupige hata chini? Nitautazamaje uso wa Yoabu ndugu yako?" \v 23 Lakini Asaheli hakukubari kugeuka. na hivyo Abneri akamchoma kwa nchi ya mkuki wake, hata ukatokea upande wa pili. Asaheli akaanguka chini akafa. Hata ikawa kila mmoja aliyefika mahali pale Asaheli alipoanguka na kufa, alisimama hapo hapo.

1
02/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Lakini Yoabu na Abishai wakamfuatilia Abneri. Wakati jua linazama walikuwa wamefika mlima wa Amma, uliopo karibu na Gia katika njia ielekeayo nyika ya Gibeoni. \v 25 Wabenjamini wakajikusanya nyuma ya Abneri na kusimama juu ya kilima.

1
02/26.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 26 Kisha Abneri akamwita Yoabu na kusema, "Je ni lazima upanga uendelee kurarua daima? Je haujui kwamba mwisho wake utakuwa mchungu? Hata line ndipo uwaambie watu wako waache kuwafuatia ndugu zao?" \v 27 Yoabu akajibu, "Kama Mungu aishivyo, usingesema hivyo, askari wangu wangewafuatia ndugu zao hata asubuhi!"

1
02/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Ndipo Yoabu akapiga tarumbeta, na watu wake wote wakasimama na hawakuendelea kuwafuata Israeli tena wala hawakupigana tena. \v 29 Abneri na watu wake wakasafiri usiku wote kupitia Araba. Wakavuka Yordani, wakatembea asubuhi yote iliyofuata, na hata wakafika Mahanaimu.

1
02/30.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 30 Yoabu akarudi kutoka katika kumfuatia Abneri. Akawakusanya watu wake wote, ambopo Asahali na askari wengine kumi na tisa wa Daudi walipungua. \v 31 Lakini watu wa Daudi walikuwa wameua watu 360 wa Benjamini na Abneri. \v 32 Kisha wakamchukua Asahali na kumzika katika kaburi la baba yake, lililokuwapo Bethlehemu. Yoabu na watu wake wakasafiri usiku wote, kukacha wakati wanafika Hebroni.

1
03/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Kulikuwa na vita ya mda mrefu kati ya nyumba ya Sauli na nyumba ya Daudi. Daudi akaendelea kupata nguvu zaidi, lakini nyumba ya Sauli iliendelea kudhoofika na kuthoofika.

1
03/02.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 2 Wana wakazaliwa kwa Daudi huko Hebron. Mzaliwa wake wa kwanza alikuwa Amnoni, kwa Ahinoamu wa Yezreeli. \v 3 Mwanawe wa pili, Kileabu, alizaliwa kwa Abigaili, mjane wa Nabali wa Karmeli. Wa tatu, Absalomu, alikuwa mwana wa Maaka, binti Talmai, mfalme wa Geshuri.

1
03/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Mwana wa nne wa Daudi, Adoniya, alikuwa mwana wa Hagithi. Mwanawe wa tano alikuwa Shefatia mwana wa Abitali, \v 5 na wa sita, Ithreamu, alikuwa mwana wa Egla mkewe Daudi. Hawa wote walizaliwa kwa Daudi huko Hebroni.

1
03/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Ikawa wakati wa vita kati ya nyumba ya Sauli na nyumba ya Daudi Abneri akajifanya mwenye nguvu katika nyumba ya Sauli. \v 7 Sauli alikuwa na suria jina lake Rispa, binti Aiya. Ishboshethi akamuuliza Abneri, "Kwa nini umelala na suria wa baba yangu?"

1
03/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Hata ikawa Abneri akakasirika sana kutokana na maneno ya Ishboshethi naye akasema, "Je mimi ni kichwa cha mbwa wa Yuda? Ninaonesha uaminifu kwa nyumba ya Sauli, baba yako, kwa jamaa yake, na rafiki zake, kwa kutokukuweka katika mkono wa Daudi. Na bado leo unanishutumu kuhusu mwanamke.

1
03/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Mungu na anifanyie hivyo, Abneri, na kuzidi, ikiwa sitafanya kwa Daudi kama Yahwe alivyomwapia, \v 10 kuuhamisha ufalme kutoka nyumba ya Sauli na kukisimika kiti cha enzi cha Daudi juu ya Israeli na juu ya Yuda, kutoka Dani hadi Beersheba." \v 11 Ishboshethi hakuweza kumjibu Abneri neno tena, kwani alimuogopa.

1
03/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Kisha Abneri akatuma wajumbe kwa Daudi kusema, "Nchi hii ni ya nani? Fanya agano nami, nawe utaona kwamba mkono wangu uko nawe, kuiIeta Israeli yote kwako." \v 13 Daudi akajibu, "Vema, nitafanya agano nawe. Lakini neno moja ninalolitaka kutoka kwako ni kwamba hautauona uso wangu usipomuleta kwanza Mikali, binti Sauli, unapokuja kuonana nami."

1
03/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Kisha Daudi akatuma wajumbe kwa Ishboshethi, mwana wa Sauli, kusema, "Nipe Mikali, mke wangu niliyetoa kwa ajili yake govi mia moja za Wafilisti." \v 15 Hivyo Ishboshethi akatuma kwa Mikali na kumchukua kutoka kwa mme wake, Paltieli mwana wa Laishi. \v 16 Mme wake akafuatana naye, huku akilia, akaendelea hadi Bahurimu. Kisha Abneri akamwambia, "basi sasa rudi nyumbani." Hivyo akarudi.

1
03/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Abneri akaongea na wazee wa Israeli kusema, "Zamani mlitaka Daudi awe mfalme wenu. \v 18 Basi sasa fanyeni hivyo. Kwa maana Yahwe alisema kuhusu Daudi kusema, "Kwa mkono wa Daudi mtumishi wangu nitawaokoa watu wangu Israeli kutoka katika mkono wa Wafilisti na kutoka katika mkono wa adui zao wote."

1
03/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Pia Abneri akasema na watu wa Benjamini ana kwa ana. Kisha Abneri akaenda kuongea na Daudi huko Hebroni akaeleza kila jambo ambalo Israeli na nyumba yote ya Benjamini walitamani kulitimiza. \v 20 Wakati Abneri na watu ishirini kati ya watu wake walifika Hebroni kumuona Daudi, Daudi akaandaa sherehe kwa ajili yao.

1
03/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Abneri akamweleza Daudi, "Nitainuka na kukukusanyia Israeli wote, bwana wangu mfalme, ili kwamba wafanye agano nawe, kwamba utawale juu ya yote unayotaka." Hivyo Daudi akamruhusu Abneri kuondoka, Abneri akaondoka kwa amani.

1
03/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Kisha askari wa Daudi na Yoabu wakarudi kutoka katika kuteka nyara na wakaja na nyara nyingi. Lakini Abneri hakuwepo Hebroni pamoja na Daudi. Daudi alikuwa amemruhusu kuondoka, na alikuwa ameondoka kwa amani. \v 23 Wakati Yoabu na Jeshi lote walipofika, Yoabu aliambiwa, "Abneri mwana wa Neri alikuja kwa mfalme, na mfalme amemruhusu kuondoka, naye Abneri ameondoka kwa amani."

1
03/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Kisha Yoabu akaja kwa mfalme na kusema, "Umefanya nini? Tazama, Abneri alikuja kwako! Kwa nini umemruhusu kuondoka, naye amenda? \v 25 Haujui kwamba Abneri mwana wa Neri alikuja kukudanganya na kupeleleza hali yako na kuangalia kila unalofanya?" \v 26 Yoabu alipoondoka kwa Daudi, alituma wajumbe kumfuatia Abneri, nao wakamrudisha kutoka katika kisima cha Sirah, lakini Daudi hakulijua hili.

1
03/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Abneri aliporudi Hebroni, Yoabu alimchukua kando kati ya lango ili aongee naye faraghani. Hapohapo Yoabu alimchoka tumboni na kumuua. Hivyo, akalipa kisasi cha damu ya Asaheli nduguye.

1
03/28.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 28 Daudi alipolisikia jambo hili akasema, "Mimi na ufalme wangu hatuna hatia mbele za Yahwe daima, kuhusiana na damu ya Abneri mwana wa Neri. \v 29 Hatia ya damu ya Abneri na iwe juu ya Yoabu na nyumba yote ya baba yake. Na asikosekane katika familia ya Yoabu mtu mwenye vidonda, au mwenye ukoma, au kirema atembeaye kwa fimbo au aliyeuawa kwa upanga au mwenye kukosa chakula." \v 30 Hivyo Yoabu na Abishai nduguye wakamwua Abneri, kwa sababu alimwua Asaheli ndugu yao vitani huko Gibeoni.

1
03/31.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 31 Daudi akamwambia Yoabu na wote waliokuwa pamoja naye, "Rarueni mavazi yenu, jivikeni nguo za magunia, na muomboleze mbele ya mwili wa Abneri." Na mfalme Daudi akaufuata mwili wa Abneri wakati wa mazishi. \v 32 Wakamzika Abneri huko Hebroni. Mfalme akalia kwa sauti katika kaburi la Abneri, na watu wote pia wakalia.

1
03/33.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 33 Mfalme akamwombolea Abneri naye akaimbo, "Je ilipasa Abneri afe kama afavyo mpumbavu? \v 34 Mikono yako haikufungwa. Miguu yako hakuwa imefungwa minyororo. Kama mtu aangukavyo mbele ya wana wa uovu, ndivyo ulivyoanguka." Watu wote wakamlilia zaidi.

1
03/35.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 35 Watu wote wakaja kumtaka Daudi ale wakati kungali mchana, lakini Daudi akaapa, "Mungu na anifanyie hivyo, na kuzidi, ikiwa nitaonja mkate au chochote kabla jua halijazama." \v 36 Watu wote wakaiona huzuni ya Daudi, na ikawapendeza, hivyo kila alichokifanya mfalme kikawapendeza.

1
03/37.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 37 Hivyo watu wote na Israeli wote wakatambua siku hiyo kwamba haikuwa nia ya mfalme Abneri mwana wa Neri afe. \v 38 Mfalme akawaambia watumishi wake, "je hamjui kuwa mtu mkuu ameanguka leo hii katika Israeli? \v 39 Nami leo nimedhoofika, japokuwa nimetiwa mafuta kuwa mfalme. Watu hawa, wana wa Seruya ni hatari sana kwangu. Yahwe na amrudishie mwovu kwa kumlipa kwa ajili ya uovu wake kama anavyostahili.

1
04/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Ikawa Ishboshethi, mwana wa Sauli, aliposikia kwamba Abneri amekufa huko Hebroni, mikono yake ikadhoofika, na Israeli yote ikataabika. \v 2 Basi mwana wa Sauli alikuwa na watu wawili waliokuwa wakuu wa vikosi vya askari. Mmoja wao alikuwa Baana na mwingine alikuwa Rekabu, wana wa Rimoni Mbeerothi wa wana wa Benjamini(kwa maana Berothi ilihesabiwa kuwa sehemu ya Benjamini, \v 3 na Waberothi walikimbilia Gitaimu na wamekuwa wakiishi pale hadi sasa).

1
04/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Basi Yonathani, mwana wa Sauli, alikuwa na mwana mlemavu wa miguu. Alikuwa na umri wa miaka mitano habari kuhusu Sauli na Yonathani ilipofika Yezreeli. Yaya wake akamchukua ili akimbie. Lakini wakati anakimbia, mwana wa Yonathani alianguka na akawa kirema. Jina lake aliitwa Mefiboshethi.

1
04/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Hivyo wana wa Rimoni mbeerothi, Rekabu na Baana, wakasafiri mchana wakati wa jua kali mpaka nyumbani mwa Ishbothethi, yeye alikuwa amepumzika mchana. \v 6 Mwanamke aliyekuwa akililinda lango alisinzia wakati akipepeta ngano, Rekabu na Baana waliingia ndani polepole na wakampita. \v 7 Hivyo walipoingia ndani ya nyumba, walimpiga na kumuua wakati amelala chumbani mwake. Kisha wakakata kichwa chake na wakaondoka nacho, wakasafiri njiani usiku kucha mpaka Araba.

1
04/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Wakaleta kichwa cha Ishboshethi kwa Daudi huko Hebroni, nao wakamwambia mfalme, "Tazama, hiki ni kichwa cha Ishboshethi mwana wa Sauli, adui yako, aliyekuwa akiutafuta uhai wako. Leo Yahwe amemlipia kisasi bwana wetu mfalme dhidi ya Sauli na uzao wake." \v 9 Daudi akawajibu Rekabu na Baana nduguye, wana wa Rimoni mbeerothi, akawambia, "Kama Yahwe aishivyo, aliyeuokoa uhai wangu na kila shida, \v 10 mtu mmoja aliponiambia, 'Tazama, Sauli amekufa,' akifikiri alileta habari njema, nilimkamata na kumwua huko Siklagi. Huo ndio ujira niliompa kwa habari yake.

1
04/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Namna gani, mtu mwovu anapomwua mwenye haki kitandi mwake ndani ya nyumba, Je nisiitake damu yake kutoka katika mikono yenu, na kuwaondoa duniani?" \v 12 Kisha Daudi akawaagiza vijana, nao wakawaua wakakata mikono na miguu yao na kuwatundika kando ya bwawa huko Hebroni. Lakini wakakichukua kichwa cha Ishboshethi na kukizika katika kaburi la Abneri katika Hebroni.

1
05/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Kisha kabila zote za Israeli wakamwendea mfalme huko Hebroni nao wakasema, "Tazama, sisi ni nyama na mifupa yako. \v 2 Kipindi kilichopita, Sauli alipokuwa mfalme juu yetu, ni wewe uliyeliongoza jeshi la Waisraeli. Yahwe akakwambia, 'Utawachunga watu wangu Israeli, na utakuwa mtawala juu ya Israeli."

1
05/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Hivyo wazee wote wa Israeli wakaja kwa mfalme huko Hebron na mfalme Daudi akafanya nao agano mbele ya Yahweh. Wakamtawaza Daudi kuwa mfalme wa Israeli. \v 4 Daudi alikuwa na umri wa miaka thelathini alipoanza kutawala, naye akatawala miaka arobaini. \v 5 Alitawala juu ya Yuda miaka saba na miezi sit a huko Hebroni, na huko Yerusalemu akatawala miaka thelathini na mitatu juu ya Israeli yote na Yuda.

1
05/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Mfalme na watu wake wakaenda Yerusalemu kupigana na wayebusi, waliokuwa wenyeji wa nchi. Wakamwambia Daudi, "Hautaweza kuja hapa kwani hata wipofu na vilema waweza kukudhuia kuingia. Daudi haweze kuja hapa." \v 7 Lakini, Daudi akaiteka ngome ya Sayuni, ambayo sasa ni mji wa Daudi.

1
05/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Wakati huo Daudi akasema, "Waliowashambulia wayebusi watapaswa kupita katika mfereji wa maji ili wawafikie virema na vipofu ambao ni adui wa Daudi." Hii ndiyo maana watu husema, "Vipofu na virema wasingie katika kasri." \v 9 Hivyo Daudi akaishi ngemeni naye akaiita mji wa Daudi. Akaizungushia ukuta, kuanzia barazani kuelekea ndani. \v 10 Daudi akawa na nguvu sana kwa maana Yahwe, Mungu wa utukufu, alikuwa pamoja naye.

1
05/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Kisha Hiramu mfalme wa Tiro akatuma wajumbe kwa Daudi, na miti ya mierezi, mafundi seremala na wajenzi. Wakamjengea Daudi nyumba. \v 12 Daudi akatambua kuwa Yahwe alikuwa amemweka ili awe mfalme juu ya Israeli, na kwamba alikuwa ameutukuza ufalme wake kwa ajili ya Israeli watu wake.

1
05/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Baada ya Daudi kuondoka Hebroni na kwenda Yerusalemu, akajitwalia wake na masuria wengi huko Yerusalemu, na wana na binti wengi walizaliwa kwake. \v 14 Haya ndiyo majina ya wanawe waliozaliwa kwake huko Yerusalemu: Shamua, Shobabu, Nathani, Selemani, \v 15 Ibhari, Elishua, Nefegi, Yafia, \v 16 Elishama, Eliada na Elifeleti.

1
05/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 Basi wafilisti waliposikia kwamba Daudi ametiwa mafuta kuwa mfalme juu ya Israeli, wakaenda wote kumtafuta. Daudi aliposikia hilo akashuka ngomeni. \v 18 Basi Wafilisiti walikuwa wamekuja na kuenea katika bonde la Mrefai.

1
05/19.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 19 Kisha Daudi akaomba msaada kutoka kwa Yahwe. Akasema, "Je niwashambulie wafilisti? Je utanipa ushindi juu yao?" Yahwe akamwambia Daudi, "Washambulia, kwa hakika nitakupa ushindi juu ya wafilisti." \v 20 Hivyo Daudi akawashambulia huko Baali Perasimu, naye akawashinda. Akasema, Yahwe amewafurikia adui zangu mbele yangu kama mafuriko ya maji. Kwa hiyo jina la mahali pale likawa Baali Perasimu. \v 21 Wafilisiti wakaacha vinyago vyao pale, na Daudi na watu wake wakaviondoa.

1
05/22.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 22 Kisha wafilisiti wakaja kwa mara nyingine tena na kujieneza zaidi katika bonde la Mrefai. \v 23 Hivyo Daudi akatafuta msaada tena kutoka kwa Yahweh, naye Yahweh akamwambia, "Usiwashambulie kwa mbele, lakini uwazunguke kwa nyuma na uwaendee kupitia miti ya miforosadi.

1
05/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Wakati utakaposikia sauti za mwendo katika upepo uvumao juu ya miti ya miforosadi, hapo ushambulie kwa nguvu. Fanya hivi kwa kuwa Yahwe atatangulia mbele yako kulishambulia jeshi la Wafilisiti." \v 25 Hivyo Daudi akafanya kama Yahwe alivyomwamuru. Akawaua wafilisti njiani mwote toka Geba hadi Gezeri.

1
06/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Basi kwa mara nyingine Daudi akawakusanya wateuli wa Israeli, elfu thelathini. \v 2 Daudi akainuka na akaenda na watu wake wote waliokuwa pamoja naye kutoka Baala ulioko Yuda ili alilete sanduku la Mungu, liitwalo kwa jina la Yahwe wa majeshi, akaaye juu ya makerubi.

1
06/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Wakaliweka sanduku la Mungu juu ya mkokoteni mpya. Wakalitoa katika nyumba ya Abinadabu, iliyokuwa juu ya kilima. Uza na Ahio, wanawe, wakauongoza mkokoteni. \v 4 Wakautoa mkokoteni na sanduku la Mungu juu yake nyumbani mwa Abinadabu juu ya kilima. Ahio alikuwa ametangulia mbele ya sanduku. \v 5 Kisha Daudi na nyumba yote ya Israeli wakaanza kucheza mbele ya Yahwe, wakishangilia kwa vyombo vya mziki, vinubi, vinanda, matari, kayamba na matowazi.

1
06/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Hata walipofika katika shinikizo la Nasoni, wale ng'ombe wakakwama, Uza akanyosha mkono wake na kulikumbatia sanduku la Mungu, naye akalishikilia. \v 7 Kisha asira ya Yahweh ikawaka dhidi ya Uza. Mungu akampiga kwa ajili ya dhambi yake. Uza akafa pale pale kando ya sandaku la Mungu.

1
06/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Daudi akakasirika kwa kuwa Yahwe alimpiga Uza, naye akapaita mahali pale Peresi Uza. Eneo hilo linaitwa Peres Uza hata leo. \v 9 Daudi akamwogopa Yahweh siku hiyo. Akasema, "Sanduku la Yahwe lawezaje kuja kwangu?"

1
06/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Hivyo Daudi hakuwatayari tena kulichukua sanduku la Yahwe katika mji wa Daudi. Badala yake, akaliweka kando katika nyumba ya Obedi Edomu Mgiti. \v 11 Sanduku la Yahwe likakaa katika nyumba ya Obedi Edomu Mgiti kwa miezi mitatu. Kwa hiyo Yahwe akambariki yeye na nyumba yake yote.

1
06/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Kisha mfalme Daudi akaambiwa, "Yahwe ameibariki nyumba ya Obedi Edomu na kila kitu alichonacho kwa sababu ya sanduku la Mungu." Hivyo Daudi akaenda na kulipandisha sanduku la Mungu kutoka katika nyumba ya Obedi Edomu hadi mji wa Daudi kwa furaha. \v 13 Ikawa waliolibeba sanduku la Yahwe walipochukua hatua sita, akatoa sadaka ng'ombe na ndama aliyenona.

1
06/14.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 14 Daudi akacheza mbele ya Yahwe kwa nguvu zake zote; alikuwa amevaa naivera ya kitani pekee. \v 15 Hivyo Daudi na nyumba yote ya Israeli wakalipandisha sanduku la Yahwe kwa vifijo na sauti za tarumbeta.

1
06/16.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 16 Hata ikawa sanduku la Yahwe lilipofika mjini mwa Daudi, Mikali, binti Sauli, alichungulia dirishani. Akamwona mfalme Daudi akiruka na kucheza mbele ya Yahwe. Akamdharau moyoni mwake. \v 17 Wakaliingiza sanduku la Yahwe na kuliweka mahali pake, katikati ya hema ambayo Daudi alikuwa ameliwekea. Kisha Daudi akatoa sadaka ya kuteketezwa na matoleo ya amani mbele za Yahwe.

1
06/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Ikawa Daudi alipomaliza kutoa sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani, akawabariki watu kwa jina la Yahwe wa majeshi. \v 19 Kisha akawagawia watu wote, umati wote wa Israeli, wanaume kwa wanawake, kipande cha mkate, nyama na keki ya zabibu. Kisha watu wote wakaondoka; kila mmoja akarudi kwake.

1
06/20.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 20 Kisha Daudi akarudi ili aibariki familia yake. Mikali, binti Sauli, akatoka ili akutane na Daudi naye akasema, "Jinsi gani mtukufu mfalme wa Israeli alivyokuwa leo, aliyejiacha uchi mbele ya macho ya vijakazi miongoni mwa watumishi wake, kama mmoja wa wapumbavu ambaye bila aibu hujifunua yeye mwenyewe!"

1
06/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Daudi akamjibu Mikali, "Nilifanya hivyo mbele ya Yahwe, aliyenichagua juu ya baba yako na juu ya familia yake yote, aliyeniweka kuwa kiongozi juu ya watu wa Yahwe, juu ya Israeli. Mbele ya Yahwe nitafurahi! \v 22 Nitakuwa nisiye na heshima hata zaidi ya hapa, na nitajishusha mbele za macho yangu mwenyewe. Lakini kwa hawa vijakazi uliowasema, nitaheshimiwa." \v 23 Hivyo Mikali, binti Sauli, hakuwa na watato hata alipokufa.

1
07/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Ikawa mfalme alipokuwa amekwisha kukaa katika nyumba yake, na baada ya Yahwe kuwa amemstarehesha kutokana na adui zake wate waliomzunguka, \v 2 mfalme akamwambia nabii Nathani, "Tazama, mimi ninaishi katika nyumba ya mierezi, lakini sanduku la Mungu lipo hemani.

1
07/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Basi Nathani akamwambia mfalme, "Nenda, fanya lililo moyoni mwako, kwa maana Yahwe yupo nawe." \v 4 Lakini usiku usiku uleule neno la Yahwe lilimjia Nathani kusema, \v 5 "Nenda na umwambie mtumishi wangu Daudi, 'Hivi ndivyo asemavyo Yahwe: Je utanijengea nyumba ya kuishi?"

1
07/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Kwa maana sijawai kuishi katika nyumba tangu siku ile nilipowaleta wana wa Israeli kutoka Misri hata leo; badala yake nimekuwa nikitembea katika hema, hema la kukutania. \v 7 Mahali pote ambapo nimekuwa nikihama miongoni mwa wana wote wa Israeli, Je niliwai kusema lolote na viongozi wa Israeli niliowaweka kuwachunga watu wangu Israeli, kusema, "Kwa nini hamjanijengea nyumba ya mierezi?"

1
07/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Sasa basi, mwambie Daudi, mtumishi wangu, "Hiki ndicho asemacho Yahwe wa majeshi: 'Nilikutwaa kutoka machungani, kutoka katika kuwafuata kondoo, ili uwe mtawala juu ya watu wangu Israeli. \v 9 Nimekuwa pamoja nawe popote ulipokwenda na nimewakatilia mbali adui zako wote mbele yako. Na nitakutengenezea jina kubwa, kama jina la mojawapo ya wakuu walio juu ya nchi.

1
07/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Nitatenga mahali kwa ajili ya watu wangu Israeli nami nitawapanda pale, ili kwamba waweze kuishi mahali pao wenyewe na wasisumbuliwe tena. Waovu hawatawatesa tena, kama walivyofanya mwanzo. \v 11 Kama walivyofanya tangu siku ile nilipoamuru waamuzi juu ya watu wangu Israeli. Nami nitakustarehesha kutokana na adui zako wote. Zaidi ya hayo, Mimi, Yahwe, nakutamkia kwamba nitakutengenezea nyumba.

1
07/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Siku zako zitakapokwisha na ukalala pamoja na baba zako, nitainua mzao baada yako, atokaye katika mwili wako mwenyewe, nitauimalisha ufalme wake. \v 13 Naye atajenga nyumba kwa jina langu, nami nitakiimalisha kiti chake cha enzi daima. \v 14 Nitakuwa baba kwake, naye atakuwa mwanangu. Atakapotenda dhambi, nitamwadhibu kwa fimbo ya wanadamu na kwa mapigo ya wana wa watu.

1
07/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Lakini uaminifu wa agano langu hautamwondokea, kama nilivyouondoa kutoka kwa Sauli, niliyemwondoa mbele yako. \v 16 Nyumba yako na ufalme wako utathibitiswa mbele yako daima. Kiti chako cha enzi kitakuwa imara daima." \v 17 Nathani akamwambia Daudi na kumtaarifu maneno haya yote, na akamwambia kuhusu ono lote.

1
07/18.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 18 Kisha mfalme Daudi akaingia ndani na kuketi mbele ya Yahwe; akasema, "Mimi ni nani, Yahwe Mungu, na familia yangu ni nini hata umenileta hapa nilipo? \v 19 Na hili lilikuwa jambo dogo mbele yako, Bwana Yahwe. Hata ukasema kuhusu familia ya mtumishi wako wakati mkuu ujao, nawe umenionesha vizazi vijavyo, Bwana Yahwe! \v 20 Mimi Daudi, niseme nini zaidi kwako? Umemweshimu mtumishi wako, Bwana Yahwe.

1
07/21.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 21 Kwa ajili ya neno lako, na kwa ajili ya kutimiza kusudi lako mwenyewe, umefanya jambo kubwa namna hii na kulidhihirisha kwa mtumishi wako. \v 22 Kwa hiyo wewe ni mkuu, Bwana Yahwe. Kwa maana hakuna mwingine aliye kama wewe, na hakuna Mungu mwingine badala yako, kama jinsi ambayo tumesikia kwa masikio yetu wenyewe. \v 23 Kwani kuna taifa lipi lililo kama watu wako Israeli, taifa moja juu ya nchi ambalo wewe, Mungu, ulikwenda na kuwakomboa kwa ajili yako wewe mwenyewe? Ulifanya hivi ili kwamba wawe watu kwa ajili yako mwenyewe, kujifanyia jina kwa ajili yako mwenyewe, na kufanya matendo makuu na ya kuogofya kwa ajili ya nchi yako. Uliyaondoa mataifa na miungu yao kutoka mbele ya watu wako, uliowakomboa kutoka Misri.

1
07/24.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 24 Umeiimarisha Israel kama watu wako daima, na wewe, Yahwe, kuwa Mungu wao. \v 25 Basi sasa, Yahwe Mungu, ahadi uliyofanya kuhusu mtumishi wako na familia yake iwe imara daima. Ufanye kame uilivyo sema. \v 26 Na jina lako liwe kuu daima, ili watu waseme, 'Yahwe wa majeshi ni Mungu wa Israeli,' wakati nyumba yangu, Daudi, mtumishi wako itakapokaa imara mbele zako daima.

1
07/27.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 27 Kwa maana wewe, Yahwe wa majeshi, Mungu wa Israeli, umedhihirisha kwa mtumishi wako kwamba utamjengea nyumba. Ndiyo maana mimi, mtumishi wako, nimepata ujasiri kuomba kwako. \v 28 Sasa, Bwana Yahwe, wewe ni Mungu, na maneno yako ni amini, na umefanya ahadi hii njema kwa mtumishi wako. \v 29 Sasa basi, na ikupendeze kuibariki nyumba ya mtumishi wako, ili iendelee mbele yako daima. Kwa maana wewe, Bwana Yahwe, umeyasema mambo haya, na kwa ahadi yako nyumba ya mtumishi wako itabarikiwa daima.

1
08/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 ikawa baada ya haya Daudi aliwashambulia Wafilisti na kuwashinda. Hivyo Daudi akaichukua Gathi na vijiji vyake kutoka katika mamlaka ya wafilisti.

1
08/02.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 2 Kisha akaishinda Moabu na akawapima watu wake kwa mstari kwa kuwafanya walale chini juu ya ardhi. Alipima mistari miwili ya kuua, na mstari mmoja kamili kuwahifadhi hai. Hivyo Wamoabu wakawa watumishi wa Daudi na wakaanza kumlipa kodi.

1
08/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Kisha Daudi akamshinda Hadadezeri mwana wa Rehobu, mfalme wa Soba, Hadadezeri aliposafiri kuurudisha ufalme wake katika mto Frati. \v 4 Daudi aliteka magari 1, 700 ya farasi na askari ishirini elfu waendao kwa miguu. Daudi akawakata miguu farasi wa magari, lakini akahifadhi wakutosha magari mia moja.

1
08/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Wakati Washami wa Dameski walipokuja kumsaidia Hadadeziri mfalme wa Soba, Daudi akaua katika Washami watu ishirini na mbili elfu. \v 6 Daudi akaweka ngome huko Shamu ya Dameski, na Washami wakawa watumishi wake na wakaleta kodi. Yahwe akampa Daudi ushindi kila alikokwenda.

1
08/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Daudi akachukua ngao za dhahabu walizokuwa nazo watumishi wa Hadadezeri naye akazileta Yerusalemu. \v 8 Mfalme Daudi akachukua shaba nyingi kutoka Beta na Berosai, miji ya Hadadezeri.

1
08/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Wakati Tou, mfalme wa Hamathi, aliposikia kwamba Daudi amelishinda jeshi lote la Hadadezeri, \v 10 Tou akamtuma Hadoramu mwanawe kwa mfalme Daudi kumpa salamu na kumbariki, kwa kuwa Daudi alikuwa amepigana na Hadadezeri na kumshinda, maana Hadadezeri alikuwa amepiga vita dhidi ya Tou. Hadoramu akaja pamoja na vitu vya fedha, dhahabu, na shaba.

1
08/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Mfalme Daudi akaviweka wakfu vitu hivi kwa ajili ya Yahwe, pamoja na fedha na dhahabu kutoka katika mataifa yote aliyokuwa ameyashinda- \v 12 kutoka Shamu, Moabu, Waamoni, Wafilist, Waamaleki, pamoja na nyara zote alizoziteka kutoka kwa Hadadezeri mwana wa Rehobu, mfalme wa Soba.

1
08/13.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 13 Jina la Daudi likajulikana sana alipowashinda washami katika bonde la Chumvi, pamoja na watu wao wapatao elfu kumi na nane. \v 14 Akaweka ngome katika Edomu yote, na Waedomu wote wakawa watumishi wake. Yahwe akampa Daudi ushindi kila alipokwenda.

1
08/15.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 15 Daudi akatawala juu ya Israeli yote, naye akatenda kwa haki na usawa kwa watu wote. \v 16 Yoabu mwana wa Seruya alikuwa mkuu wa jeshi, na Yehoshafati mwana wa Ahiludi alikuwa mwenye kuandika taarifa. \v 17 Sadoki mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani, na Seraya alikuwa mwandishi. \v 18 Benaya mwana wa Yehoyada alikuwa juu ya Wakerethi na Wapelethi, na wana wa Daudi walikuwa washauri wa mfalme.

1
09/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Daudi akasema, "Je kuna yeyote aliyesalia wa familia ya Sauli ambaye naweza kumwonyesha kwa fadhiri kwa ajili ya Yonathani? \v 2 Alikuwepo mtumishi katika familia ya Sauli jina lake Siba, akaitwa kwa Daudi. Mfalme akamuuliza, "Je wewe ndiye Siba?" Akajibu, "Mimi ni mtumishi wako, ndiye."

1
09/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Hivyo mfalme akasema, "Je hakuna aliyesalia wa familia ya Sauli ambaye naweza kumuonesha wema wa Mungu?" Siba akamjibu mfalme, "Yonathani ana mwana, ambaye ni mlemavu wa miguu. \v 4 Mfalme akamwambia, "Yupo wapi?" Siba akamjibu mfalme, "Tazama, yupo katika nyumba ya Makiri mwana wa Amieli huko Lo Debari.

1
09/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Ndipo mfalme Daudi akatuma watu na kumtoa katika nyumba ya Makiri mwana wa Amieli huko Lo Debari. \v 6 Hivyo Mefiboshethi mwana wa Yonathani mwana wa Sauli, akaja kwa Daudi naye akainama uso wake hadi katika sakafu kwa kumheshimu Daudi. Daudi akasema, "Mefiboshethi." Naye akajibu, "Angalia, mimi ni mtumishi wako!

1
09/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Daudi akamwambia, "Usiogope, maana hakika nitakufadhiri kwa ajili ya Yonathani baba yako, nami nitakurudishia ardhi yote ya Sauli babu yako, nawe utakula katika meza yangu daima." \v 8 Mefiboshethi akainama na kusema, "Mtumishi wako ni nani, hata ukamwangalia kwa fadhiri mbwa mfu kama nilivyo?"

1
09/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Kisha mfalme akamwita Siba, mtumishi wa Sauli, na kumwambia, "Yote yaliyo ya Sauli na familia yake nimempa mjukuu wa bwana wako. \v 10 Wewe, wanao, na watumishi wako mtalima mashamba kwa ajili yake nanyi mtavuna mazao ili kwamba mjukuu wa bwana wako apate chakula. Kwa maana Mefiboshethi, mjukuu wa bwana wako, atakula katika meza yangu daima." Basi Siba alikuwa na wana kumi na watano na watumishi ishirini.

1
09/11.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 11 Kisha Siba akamwambia mfalme, "Mtumishi wako atafanya yote ambayo bwana wangu mfalme amemwamuru mtumishi wake." Mfalme akaongeza kusema, kwa Mefiboshethi yeye atakula katika meza yangu, kama mmojawapo ya wana wa mfalme." \v 12 Mefiboshethi alikuwa na mwana mdogo jina lake Mika. Na wote waliokuwa wanaishi katika nyumba ya Siba walikuwa watumishi wa Mefiboshethi. \v 13 Hivyo Mefiboshethi akaishi Yerusalemu, naye akala chakula cha daima katika meza ya mfalme, japokuwa alikuwa mlemavu wa miguu yote.

1
10/01.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 1 Ikawa baadaye mfalme wa watu wa Amoni akafa, na Hanuni mwanaye akawa mfalme mahali pake. \v 2 Daudi akasema, "Nitaonesha fadhiri Hanuni mwana wa Nahashi, kwa kuwa baba yake alinifadhiri." Hivyo Daudi akatuma watumishi wake kumfariji Hanuni kwa habari ya baba yake. Watumishi wake wakaingia katika nchi ya watu wa Amoni. \v 3 Lakini viongozi wa watu wa Amoni wakamwambia Hanuni bwana wao, "Je unathani kwa hakika Daudi anamweshimu baba yako hata ametuma watu kukutia moyo? Daudi hajawatuma watumishi wake kwako ili kuuangalia mji, kuupeleleza, ili kuupindua?

1
10/04.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 4 Hivyo Hanuni akawachukuwa watumishi wa Daudi, akawanyoa nusu ya ndevu zao, akachana mavazi yao hadi kwenye matako, naye akawaacha waende zao. \v 5 Daudi alipoelezwa kuhusu hili, akatuma watu kwenda kuwalaki, kwa kuwa walikuwa wamefedheheshwa sana. Mfalme akawambia, "Kaeni Yeriko mpaka ndevu zenu zitakapoota, ndipo mrudi."

1
10/06.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 6 Watu wa Amoni walipoona kwamba wamenuka kwa Daudi, wakatuma wajumbe na kuwaajiri Washami wa Bethi Rehobu na Soba, askari elfu ishirini waendao kwa mguu, na mfalme wa Maaka pamoja na watu elfu, na watu wa Tobu elfu kumi na mbili. \v 7 Daudi aliposikia, akamtuma Yoabu na jeshi lote la askari. \v 8 Waamoni wakatoka na wakafanya mistari ya vita katika maingilio ya lango la mji wao, wakati Washami wa Soba na wale wa Rehobu, na watu wa Tobu na Maaka, wakasimama peke yao uwandani.

1
10/09.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 9 Yoabu alipoona mistari ya vita ikimkabili pote mbele na nyuma, alichagua baadhi ya waisraeli wajuao kupigana vizuri na akawapanga dhidi ya Washami. \v 10 Na sehemu iliyosalia ya jeshi, akawaweka chini ya Abishai nduguye, naye akawaweka katika mistari ya vita dhidi ya jeshi la Amoni.

Some files were not shown because too many files have changed in this diff Show More