sw_2sa_text_reg/11/18.txt

1 line
305 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 18 Wakati Yoabu alipotuma neno kwa mfalme kuhusu hali ya vita, \v 19 alimwagiza mjumbe, kusema, "Utakapomaliza kumwambia mfalme kuhusu hali ya vita, \v 20 yawezekana mfalme akakasirika, naye akakwambia, 'Kwa nini mlipigana na mji kwa karibu hivyo, hamkujua kwamba wangeweza kushambulia kutokea ukutani?