sw_2sa_text_reg/22/47.txt

1 line
289 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 47 Yahwe anaishi! Mwamba wangu atukuzwe. Mungu na ainuliwe, mwamba wa wokovu wangu. \v 48 Huyu ndiye Mungu anilipiaye kisasi, awawekaye watu chini yangu. \v 49 Uniweka huru mbali na adui zangu. Hakika, uliniinua juu yao walioinuka kinyume changu. Uliniokoa kutoka kwa watu wenye ghasia.