1 line
165 B
Plaintext
1 line
165 B
Plaintext
|
\v 34 Huifanya myepesi miguu yangu kama kurungu na kuniweka katika vilima virefu. \v 35 Huifundisha mikono yangu kwa vita, na viganja vyangu kupinda upinde wa shaba.
|