Fri Jan 13 2023 06:54:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-13 06:54:47 +03:00
parent 90e5cf2cf1
commit f09961aecd
3 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Watu waliifanya kazi kwa uaminifu. Wasimamizi wao Yahathi na Obadia, Walawi, wa wana wa Merari; na Zekaria na Meshulamu, kutoka kwa wana wa Wakohathi. Walawi wengine, wote kati ya wale waliokuwa wanamziki wazuri sana, kwa ukaribu waliwaelekeza watendakazi. \v 13 Walawi hawa walikuwa viongoziz wa wale waliobeba vifaa vya ujenzi na watu wengine wote waliofanya kazi kwa namna yoyote ile. Pia palikuwa na Walawi ambao walikuwa makatibu, watawala na walinda lango.
\v 12 Watu waliifanya kazi kwa uaminifu. Wasimamizi wao Yahathi na Obadia, Walawi, wa wana wa Merari; na Zekaria na Meshulamu, kutoka kwa wana wa Wakohathi. Walawi wengine, wote kati ya wale waliokuwa wanamziki wazuri sana, kwa ukaribu waliwaelekeza watendakazi. \v 13 Walawi hawa walikuwa viongozi wa wale waliobeba vifaa vya ujenzi na watu wengine wote waliofanya kazi kwa namna yoyote ile. Pia palikuwa na Walawi ambao walikuwa makatibu, watawala na walinda lango.

View File

@ -1 +1 @@
\v 14 Walipoileta fedha ambayo ilikuwa imeletwa kwenye nyumba ya Yahwe, Hilkia yule kuhani akakiokota kitabu cha sheri ya Yahwe ambacho kilikuwa kimetolewa kupitia Musa. \v 15 Hilkia akamwambia Shafani yule mwandishi, "Nimekiokota kitabu cha sheria katika nyumba ya Yahwe". Hilikia akakileta kitabu kwa Shefani. \v 16 Shefani akakipelek kitabu kwa mfalme, na pia akatoa taarifa kwake, akisema, "Watumishi wako wanafanya kila kitu walichokabidhiwa.
\v 14 Walipozileta fedha ambazo zilikuwa zimeletwa kwenye nyumba ya Yahwe, Hilkia yule kuhani akakiokota kitabu cha sheri ya Yahwe ambacho kilikuwa kimetolewa kupitia Musa. \v 15 Hilkia akamwambia Shafani yule mwandishi, "Nimekiokota kitabu cha sheria katika nyumba ya Yahwe". Hilikia akakileta kitabu kwa Shefani. \v 16 Shefani akakipelek kitabu kwa mfalme, na pia akatoa taarifa kwake, akisema, "Watumishi wako wanafanya kila kitu walichokabidhiwa.

View File

@ -53,6 +53,7 @@
"34-06",
"34-08",
"34-10",
"34-12",
"35-title",
"35-01",
"35-03",