From f09961aecd37f95fc2170379f8dad2c915dd368d Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Fri, 13 Jan 2023 06:54:47 +0300 Subject: [PATCH] Fri Jan 13 2023 06:54:47 GMT+0300 (East Africa Time) --- 34/12.txt | 2 +- 34/14.txt | 2 +- manifest.json | 1 + 3 files changed, 3 insertions(+), 2 deletions(-) diff --git a/34/12.txt b/34/12.txt index 16b8a2e..2db1732 100644 --- a/34/12.txt +++ b/34/12.txt @@ -1 +1 @@ -\v 12 Watu waliifanya kazi kwa uaminifu. Wasimamizi wao Yahathi na Obadia, Walawi, wa wana wa Merari; na Zekaria na Meshulamu, kutoka kwa wana wa Wakohathi. Walawi wengine, wote kati ya wale waliokuwa wanamziki wazuri sana, kwa ukaribu waliwaelekeza watendakazi. \v 13 Walawi hawa walikuwa viongoziz wa wale waliobeba vifaa vya ujenzi na watu wengine wote waliofanya kazi kwa namna yoyote ile. Pia palikuwa na Walawi ambao walikuwa makatibu, watawala na walinda lango. \ No newline at end of file +\v 12 Watu waliifanya kazi kwa uaminifu. Wasimamizi wao Yahathi na Obadia, Walawi, wa wana wa Merari; na Zekaria na Meshulamu, kutoka kwa wana wa Wakohathi. Walawi wengine, wote kati ya wale waliokuwa wanamziki wazuri sana, kwa ukaribu waliwaelekeza watendakazi. \v 13 Walawi hawa walikuwa viongozi wa wale waliobeba vifaa vya ujenzi na watu wengine wote waliofanya kazi kwa namna yoyote ile. Pia palikuwa na Walawi ambao walikuwa makatibu, watawala na walinda lango. \ No newline at end of file diff --git a/34/14.txt b/34/14.txt index a0dd895..bbbb81d 100644 --- a/34/14.txt +++ b/34/14.txt @@ -1 +1 @@ -\v 14 Walipoileta fedha ambayo ilikuwa imeletwa kwenye nyumba ya Yahwe, Hilkia yule kuhani akakiokota kitabu cha sheri ya Yahwe ambacho kilikuwa kimetolewa kupitia Musa. \v 15 Hilkia akamwambia Shafani yule mwandishi, "Nimekiokota kitabu cha sheria katika nyumba ya Yahwe". Hilikia akakileta kitabu kwa Shefani. \v 16 Shefani akakipelek kitabu kwa mfalme, na pia akatoa taarifa kwake, akisema, "Watumishi wako wanafanya kila kitu walichokabidhiwa. \ No newline at end of file +\v 14 Walipozileta fedha ambazo zilikuwa zimeletwa kwenye nyumba ya Yahwe, Hilkia yule kuhani akakiokota kitabu cha sheri ya Yahwe ambacho kilikuwa kimetolewa kupitia Musa. \v 15 Hilkia akamwambia Shafani yule mwandishi, "Nimekiokota kitabu cha sheria katika nyumba ya Yahwe". Hilikia akakileta kitabu kwa Shefani. \v 16 Shefani akakipelek kitabu kwa mfalme, na pia akatoa taarifa kwake, akisema, "Watumishi wako wanafanya kila kitu walichokabidhiwa. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 92a42a3..9358e81 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -53,6 +53,7 @@ "34-06", "34-08", "34-10", + "34-12", "35-title", "35-01", "35-03",