Thu Jan 26 2023 11:25:26 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
8615c9485e
commit
e220ed24e3
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\c 2 \v 1 Sasa Sulemani akaamuru kulijengea nyumba jina la Yahwe na nyumamba kwa ajili ya ikulu ya ufalme wake. \v 2 Selemeni akateua wanaume elfu sabini wabebe mizigo, na wanaume elfu themanini wa kukata mbao katika mlima, na wanaume 3, 600 kwa ajili ya kusimamia. \v 3 Selemani akatuma ujumbe kwa Hiramu, mfalme wa Tiro, ukisema, "Kama ulivyofanya na Daudi baba yangu, ulivyomtumia magogo ya mierezi ili ajenge nyumba ya kuishi, fanya hivyo hivyo na mimi.
|
||||
\c 2 \v 1 Sasa Sulemani akaamuru kulijenga nyumba kwa jina la Yahwe na nyumba kwa ajili ya ikulu ya ufalme wake. \v 2 Selemeni akateua wanaume elfu sabini wabebe mizigo, na wanaume elfu themanini wa kukata mbao katika mlima, na wanaume 3, 600 kwa ajili ya kusimamia. \v 3 Selemani akatuma ujumbe kwa Hiramu, mfalme wa Tiro, ukisema, "Kama ulivyofanya na Daudi baba yangu, ulivyomtumia magogo ya mierezi ili ajenge nyumba ya kuishi, fanya hivyo hivyo na mimi.
|
Loading…
Reference in New Issue