diff --git a/02/01.txt b/02/01.txt index 82e03f2..e3e529e 100644 --- a/02/01.txt +++ b/02/01.txt @@ -1 +1 @@ -\c 2 \v 1 Sasa Sulemani akaamuru kulijengea nyumba jina la Yahwe na nyumamba kwa ajili ya ikulu ya ufalme wake. \v 2 Selemeni akateua wanaume elfu sabini wabebe mizigo, na wanaume elfu themanini wa kukata mbao katika mlima, na wanaume 3, 600 kwa ajili ya kusimamia. \v 3 Selemani akatuma ujumbe kwa Hiramu, mfalme wa Tiro, ukisema, "Kama ulivyofanya na Daudi baba yangu, ulivyomtumia magogo ya mierezi ili ajenge nyumba ya kuishi, fanya hivyo hivyo na mimi. \ No newline at end of file +\c 2 \v 1 Sasa Sulemani akaamuru kulijenga nyumba kwa jina la Yahwe na nyumba kwa ajili ya ikulu ya ufalme wake. \v 2 Selemeni akateua wanaume elfu sabini wabebe mizigo, na wanaume elfu themanini wa kukata mbao katika mlima, na wanaume 3, 600 kwa ajili ya kusimamia. \v 3 Selemani akatuma ujumbe kwa Hiramu, mfalme wa Tiro, ukisema, "Kama ulivyofanya na Daudi baba yangu, ulivyomtumia magogo ya mierezi ili ajenge nyumba ya kuishi, fanya hivyo hivyo na mimi. \ No newline at end of file