Thu Jan 26 2023 11:39:26 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-26 11:39:26 +03:00
parent 67b9a4a062
commit c43497ea05
3 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Kisha Hiramu, mfalme wa Tiro, akajibu kwa maandishi, ambayo alimtumia Selemani: "Kwa kuwa Yahwe anawapenda watu wake, amekufanya kuwa mfalme juu yao." \v 12 Zaidi ya hayo, Hiramu akasema, "Abarikiwe Yahwe, Mungu wa Israeli, aliyeziumba mbingu na dunia, amempa Daudi mwana mwenye hekima, mwenye karama ya busara na uelewa, ambaye atajenga nyumba kwa aajili ya Yahwe, na nyumba kwa ajili ya ufalme wake.
\v 11 Kisha Hiramu, mfalme wa Tiro, akajibu kwa maandishi, ambayo alimtumia Sulemani: "Kwa kuwa Yahwe anawapenda watu wake, amekufanya kuwa mfalme juu yao." \v 12 Zaidi ya hayo, Hiramu akasema, "Abarikiwe Yahwe, Mungu wa Israeli, aliyeziumba mbingu na dunia, amempa Daudi mwana mwenye hekima, mwenye karama ya busara na uelewa, ambaye atajenga nyumba kwa aajili ya Yahwe, na nyumba kwa ajili ya ufalme wake.

View File

@ -1 +1 @@
\v 13 Sasa nimemtum mtu mwenye ujuzi, mwenye karama ya uelewa, Hiramu, mtaalamu wangu. \v 14 Ni mwana wa mwanamke wa binti za Dani. Baba yake alikuwa mtu kutoka Tiro. Ana ujuzi katika kazi za dhahabu, fedha, shaba, chuma, mawe, na katika mbao, na katika dhambarau, samawati, na sufu yenkundu, na kitani safi. Pia ana ujuzi katika kutengeneza michoro ya aina yoyote na katika kubuni kitu chochote. Apatiwe nafsi miongoni mwa watumishi wako wenye ujuzi, na pamoja na wale wa bwana wangu, Daudi, baba yako.
\v 13 Sasa nimemtuma mtu mwenye ujuzi, mwenye karama ya uelewa, Hiramu, mtaalamu wangu. \v 14 Ni mwana wa mwanamke wa binti za Dani. Baba yake alikuwa mtu kutoka Tiro. Ana ujuzi katika kazi za dhahabu, fedha, shaba, chuma, mawe, na katika mbao, na katika dhambarau, samawati, na sufu yenkundu, na kitani safi. Pia ana ujuzi katika kutengeneza michoro ya aina yoyote na katika kubuni kitu chochote. Apatiwe nafsi miongoni mwa watumishi wako wenye ujuzi, na pamoja na wale wa bwana wangu, Daudi, baba yako.

View File

@ -49,6 +49,7 @@
"02-04",
"02-06",
"02-08",
"02-11",
"33-title",
"33-01",
"33-04",