Thu Feb 23 2023 16:43:54 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-23 16:43:55 +03:00
parent 5f5ac9111a
commit bcb5c72f0b
2 changed files with 2 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 16 Israeli wote, walipoona kwamba mfalme hakuwasikiliza, watu wakamjibu na kusema, "Tunasehemu gani katika Daudi? Hatuna urithi katika wana wa Yese! Kila mmoja wenu anapaswa kwenda katika hema yake, Israeli. Sasa kila mtu aone nyumba yake, Daudi." Kwa hiyo Israeli wote wakarudi kwenye hema zao. Lakini kwa watu wa Yuda walioishi katika miji ya Yuda, Yeroboamu akatawala juu yao. Kisha mfalme Rehoboamu akamtuma Adoramu, ambaye alikuwa msimamizi wa wafanya kazi, lakini watu wa Israeli walimuua kwa kumpiga mawe. Mfalame Rehoboamu akaingia haraka ndani ya gari lake kwenda Yerusalemu. Kwa hiyo Israeli wakawa waasi dhidi ya nyumba ya Mungu hadi leo.
\v 16 Israeli wote, walipoona kwamba mfalme hakuwasikiliza, watu wakamjibu na kusema, "Tunasehemu gani katika Daudi? Hatuna urithi katika wana wa Yese! Kila mmoja wenu anapaswa kwenda katika hema yake, Israeli. Sasa kila mtu aone nyumba yake, Daudi." Kwa hiyo Israeli wote wakarudi kwenye hema zao.

View File

@ -140,6 +140,7 @@
"10-10",
"10-12",
"10-15",
"10-16",
"33-title",
"33-01",
"33-04",