Thu Feb 23 2023 16:41:54 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-23 16:41:55 +03:00
parent 5c946d1511
commit 5f5ac9111a
1 changed files with 1 additions and 0 deletions

1
10/17.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 17 \v 18 \v 19 Lakini kwa watu wa Yuda walioishi katika miji ya Yuda, Yeroboamu akatawala juu yao. Kisha mfalme Rehoboamu akamtuma Adoramu, ambaye alikuwa msimamizi wa wafanya kazi, lakini watu wa Israeli walimuua kwa kumpiga mawe. Mfalame Rehoboamu akaingia haraka ndani ya gari lake kwenda Yerusalemu. Kwa hiyo Israeli wakawa waasi dhidi ya nyumba ya Mungu hadi leo.