Sat Feb 11 2023 15:22:18 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-11 15:22:19 +03:00
parent a944a49269
commit aad9abfcc1
3 changed files with 4 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 13 Sasa uzito wa dhahabu ambayo ililetwa kwa Selemani ndani ya mwaka mmoja ulikuwa talanta 666 za dhahabu, \v 14 nje na dhahabu ambayo waliileta wachukuzi na wafanya biashara. Walme wote wa Arabuni na maliwali katika nchi pia wakamletea Selemanai dhahabu na fedha. \v 13 Sasa uzito wa dhahabu ambayo ililetwa kwa Sulemani ndani ya mwaka mmoja ulikuwa talanta 666 za dhahabu, \v 14 nje na dhahabu ambayo waliileta wachukuzi na wafanya biashara. Wafalme wote wa Arabuni na maliwali katika nchi pia wakamletea Sulemani dhahabu na fedha.

View File

@ -1 +1 @@
\v 15 Mfalme Selemani akatengeneza ngao kubwa mia mbili za dhahabu iliyofuliwa. Shekeli mia sita za dhahabu zikatumika kwa kila ngao. \v 16 Pia akatengeneza ngao mia tatu za shahabu iliyopigwa. Minas tatu za dhahabu zikaenda kwa kila ngao; mfalme akaziweka kwenye ikulu ya Msitu wa Lebanoni. \v 15 Mfalme Sulemani akatengeneza ngao kubwa mia mbili za dhahabu iliyofuliwa. Shekeli mia sita za dhahabu zikatumika kwa kila ngao. \v 16 Pia akatengeneza ngao mia tatu za shahabu iliyopigwa. Minas tatu za dhahabu zikaenda kwa kila ngao; mfalme akaziweka kwenye ikulu ya Msitu wa Lebanoni.

View File

@ -123,6 +123,8 @@
"09-05", "09-05",
"09-07", "09-07",
"09-09", "09-09",
"09-10",
"09-13",
"33-title", "33-title",
"33-01", "33-01",
"33-04", "33-04",