Sat Feb 11 2023 15:20:18 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-11 15:20:18 +03:00
parent 6461d84546
commit a944a49269
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 10 Watumishi wa Hiramu na mfalme Sulemani, ambaye alileta dhahabu kutoka Ofiri, miti ya msandali,, na vito vya thamani. \v 11 Kwa miti hiyo ya msandali, mfalme Sulemani akatengeneza madari ya nyumba ya Yahwe na nyumba yake, na vinubi na vinanda kwa ajili ya wanamziki. Hapajaonekana tena mbao kama hiyo katika nchi ya Yuda. \v 12 Mfalme Selemani akampa malkia wa Sheba kila kitu alichotaka, chochote alichoomba, zaidi ya vile alivyoleta kwa mfalme Selemani. Kwa hiyo akaondoka na kurudi kwenye nchi yake, yeye na wataumishsi wake.
\v 10 Watumishi wa Hiramu na mfalme Sulemani, ambaye alileta dhahabu kutoka Ofiri, miti ya msandali,, na vito vya thamani. \v 11 Kwa miti hiyo ya msandali, mfalme Sulemani akatengeneza madari ya nyumba ya Yahwe na nyumba yake, na vinubi na vinanda kwa ajili ya wanamziki. Hapajaonekana tena mbao kama hiyo katika nchi ya Yuda. \v 12 Mfalme Sulemani akampa malkia wa Sheba kila kitu alichotaka, chochote alichoomba, zaidi ya vile alivyoleta kwa mfalme Sulemani. Kwa hiyo akaondoka na kurudi kwenye nchi yake, yeye na watumishi wake.