From a944a49269ec01d8257c5b5cda0a9ef34930c718 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Sat, 11 Feb 2023 15:20:18 +0300 Subject: [PATCH] Sat Feb 11 2023 15:20:18 GMT+0300 (East Africa Time) --- 09/10.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/09/10.txt b/09/10.txt index 2bf9bfa..afc67cf 100644 --- a/09/10.txt +++ b/09/10.txt @@ -1 +1 @@ -\v 10 Watumishi wa Hiramu na mfalme Sulemani, ambaye alileta dhahabu kutoka Ofiri, miti ya msandali,, na vito vya thamani. \v 11 Kwa miti hiyo ya msandali, mfalme Sulemani akatengeneza madari ya nyumba ya Yahwe na nyumba yake, na vinubi na vinanda kwa ajili ya wanamziki. Hapajaonekana tena mbao kama hiyo katika nchi ya Yuda. \v 12 Mfalme Selemani akampa malkia wa Sheba kila kitu alichotaka, chochote alichoomba, zaidi ya vile alivyoleta kwa mfalme Selemani. Kwa hiyo akaondoka na kurudi kwenye nchi yake, yeye na wataumishsi wake. \ No newline at end of file +\v 10 Watumishi wa Hiramu na mfalme Sulemani, ambaye alileta dhahabu kutoka Ofiri, miti ya msandali,, na vito vya thamani. \v 11 Kwa miti hiyo ya msandali, mfalme Sulemani akatengeneza madari ya nyumba ya Yahwe na nyumba yake, na vinubi na vinanda kwa ajili ya wanamziki. Hapajaonekana tena mbao kama hiyo katika nchi ya Yuda. \v 12 Mfalme Sulemani akampa malkia wa Sheba kila kitu alichotaka, chochote alichoomba, zaidi ya vile alivyoleta kwa mfalme Sulemani. Kwa hiyo akaondoka na kurudi kwenye nchi yake, yeye na watumishi wake. \ No newline at end of file