Fri Jan 13 2023 06:56:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-01-13 06:56:47 +03:00
parent f09961aecd
commit 8cd9d30ae3
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 14 Walipozileta fedha ambazo zilikuwa zimeletwa kwenye nyumba ya Yahwe, Hilkia yule kuhani akakiokota kitabu cha sheri ya Yahwe ambacho kilikuwa kimetolewa kupitia Musa. \v 15 Hilkia akamwambia Shafani yule mwandishi, "Nimekiokota kitabu cha sheria katika nyumba ya Yahwe". Hilikia akakileta kitabu kwa Shefani. \v 16 Shefani akakipelek kitabu kwa mfalme, na pia akatoa taarifa kwake, akisema, "Watumishi wako wanafanya kila kitu walichokabidhiwa.
\v 14 Walipozileta fedha ambazo zilikuwa zimeletwa kwenye nyumba ya Yahwe, Hilkia yule kuhani alikipata kitabu cha sheria ya Yahwe ambacho kilikuwa kimetolewa kupitia Musa. \v 15 Hilkia akamwambia Shafani yule mwandishi, "Nimekipata kitabu cha sheria katika nyumba ya Yahwe". Hilikia akakileta kitabu kwa Shefani. \v 16 Shefani akakipelek kitabu kwa mfalme, na pia akatoa taarifa kwake, akisema, "Watumishi wako wanafanya kila kitu walichokabidhiwa.