Sat Feb 11 2023 14:08:17 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2023-02-11 14:08:18 +03:00
parent c833e2bee7
commit 83b07551a4
3 changed files with 4 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 40 \v 41 \v 42 Sasa, Mungu wangu, ninakusihi, uyafungue macho yako, na masikio yako yasikie maombi yatakayofanywa katika sehemu hii. Sasa basi, amka, Yahwe Mungu, kwenye mahali pako pa kupumzikia, Wewe na sanduku la nguvu zako. Makuhani wako, Yahwe Mungu, wavikwe wokovu, na watakatifu wako wafurahi katika wema. Yahwe Mungu, usiugeuze nyuma uso wa masihi wako. Yakumbuke matendo yako katika agano lako la ufalme kwa ajili ya Daudi, mtumishi wako.
\v 41 \v 42 \v 40 Sasa, Mungu wangu, ninakusihi, uyafungue macho yako, na masikio yako yasikie maombi yatakayofanywa katika sehemu hii. 41 Sasa basi, amka, Yahwe Mungu, kwenye mahali pako pa kupumzikia, Wewe na sanduku la nguvu zako. Makuhani wako, Yahwe Mungu, wavikwe wokovu, na watakatifu wako wafurahi katika wema. 42 Yahwe Mungu, usiugeuze nyuma uso wa masihi wako. Yakumbuke matendo yako katika agano lako la ufalme kwa ajili ya Daudi, mtumishi wako.

2
07/title.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1,2 @@
2 Mambo Ya Nyakati
Sura 7

View File

@ -95,6 +95,7 @@
"06-32",
"06-34",
"06-36",
"06-40",
"33-title",
"33-01",
"33-04",